Car4Sale Gx 110 inauzwa, nimeishusha bei 5.5M

Kila nikifungua Jukwaa hili nakutana na tangazo la hii gari,ukweli ni kwamba kuuza GX 110 kwa ml.5.5 si rahisi,ni ushauri tu,punguza bei

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu Tumbo GX 110 huwezi kuuza ml.5,500,000 mark my words!!!Brevis namba DN,DG nk zimejaa tele mitaani kwa 4,000,000 mpaka 5,000,000,nani wa kununua GX 110 namba DD kwa 5,500,000??kubali kupokea ushauri,zaidi ya hapo utaitangaza nwaka mzima hakuna wa kuinunua kwa bei hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…