Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,507
- 34,689
Mazoea labda me nikinywa kahawa nakua fresh kabisaKahawa na energy drinks zinaongeza uchovu especially usipoweka cream ya maziwa original au maziwa cream.
Mazoea labda me nikinywa kahawa nakua fresh kabisaKahawa na energy drinks zinaongeza uchovu especially usipoweka cream ya maziwa original au maziwa cream.
Sina gym mkuu. Pia mimi si trainer.Nipatie location ya gym yako mkuu nije unifue…
Hutaki kuchosha mwili...Dah maisha kweli yanabadilika sana , toka nimeamia kunywa bia nikiona uzi wa mazoezi napita kama nagaa maiti🥲
Mkuu hii ndio nmesikia hapa.Kahawa na energy drinks zinaongeza uchovu especially usipoweka cream ya maziwa original au maziwa cream.
Sasa mkuu kiepe na soseji workdone si zero....?Chips
Piga sahani na soseji utaniambia
Sio lazma gym kwako,hata gym yoyote tu.Sina gym mkuu. Pia mimi si trainer.
Narudi kwa kasi mkuuHutaki kuchosha mwili...
Haina shida. Unapatikana wapi?Sio lazma gym kwako,hata gym yoyote tu.
Inakuchangamsha initially ila baadae ina drain energy mwilini. Zingatia ule muda unitaMazoea labda me nikinywa kahawa nakua fresh kabisa
Makumbusho DaslaamHaina shida. Unapatikana wapi?
PoaMakumbusho Daslaam
Ndio tulijibu hili swali.