Gym "guys" je ni njia gani unatumia kupunguza uchovu baada ya mazoezi kupata matokeo?

Gym "guys" je ni njia gani unatumia kupunguza uchovu baada ya mazoezi kupata matokeo?

Kama unafanya weight training basi stretching baada ya mazoezi na kwenye recovery days inasaidia sana.
Upo sahii.

Pia aina ya chakula inasaidia pia. Ukifanya mazoezi unahitaji protini nyingi kwa ajili ya recovery ya misuli.

Magnesium kwa ajili ya recovery na kulala vyema.

Vitamini zote.

So pendelea kula vyakula vyenye virutubiaho hvyo.
 
Mim huuacha mwili ujiendeshe wenyew naoga naendelea na mambo mengne.

Na mazoezi mwili ukiuma kama nanyanyua vyuma, mim hua ndo nakaza make matokeo huanza kuonekana.

Usiombe uwe na homa ndan ya mwil haija amka.
 
Ufanye fujo kisa?

Mie mambo haya ya kufanya mazoezi na mtoto wa kike siwezi, yaani akili zangu zikihama tu lazima DUDUKILA lisimame BENDERA NUSU MLINGOTI..

sasa mambo ya fedheha haya siyawezi
Acha uzinzi 😹
 

Attachments

  • 20260623_173635.jpg
    20260623_173635.jpg
    569.8 KB · Views: 12
Wengine mnaezaje kufanya mazoezi gym sijui kukimbia?

Mimi mazoezi ninayoweza ni ya kitandani tu na kuogelea lkn mwili wangu upo smart ✅️
Kwichi kwichi ni zoezi zuri....

Ila kuogelea ni balaa zaidi, ni moja kati ya mazoezi mazuri kabisa, yanashughulisha karibia kila kiungo cha mwili..
Ukiachana na kucheza muziki, basi ni kuogelea kisha ndio kukimbia.
 
Kutumia dawa yoyote ili kupunguza maumivu baada ya mazoezi nahisi sio sahihi.

Anza mazoezi taratibu kadri muda unavyoenda utajikuta unakuwa perfect zaidi.

Ukiona unapata maumivu makali baada ya mazoezi basi kuna kitu unakosea

Either kama unakimbia basi huna vifaa sahihi kama gym basi unaforce uzito.

Mimi kila jumamosi natembea 25km kwa wiki mapumziko mara mbili.

Sipendi gym ni mtu wa walking running na viungo.

Ila nina mpango wa kuanza Gym next few days
Sema mkuu kwa tabora kutembea km 25 si utajikuta maporini kabisa???

Angalia usije kuliwa na simba
 
Ukitoka zoezi, pumzika kidogo angalau 15 minutes. Oga maji ya vuguvugu. Chukua ndizi mbivu mbili menya katakata na tango. Kula hii husaidia mwili kurudisha nishati na maji yaliyotumika wakati wa mazoezi. Kisha endelea na mishe ndogo ndogo mpaka utapopata chakula cha usiku au asubuhi. Usitumie eneji au kahawa hazina msaada hizo.
 
Back
Top Bottom