Gym "guys" je ni njia gani unatumia kupunguza uchovu baada ya mazoezi kupata matokeo?

Gym "guys" je ni njia gani unatumia kupunguza uchovu baada ya mazoezi kupata matokeo?

Kwani ugomvi 😹😹
Trainer nishamkimbia kitambo naona nikishtakiwa kwa kufanya fujo..!!
Ufanye fujo kisa?

Mie mambo haya ya kufanya mazoezi na mtoto wa kike siwezi, yaani akili zangu zikihama tu lazima DUDUKILA lisimame BENDERA NUSU MLINGOTI..

sasa mambo ya fedheha haya siyawezi
 
Uzi huu ni kwa ajili ya watu wa mazoezi wanaoenda gym au wale wanaofanya mazoezi makali iwe ya kukimbia, mazoezi ya viungo au high intensity interval training (HIIT) au kunyanyua vitu vizito.

Je unatumia njia gani kurecover after mazoezi? Especially kama unafanya siku 3 mpaka 5 kwa week?

1. Kupumzika sana (zaidi ya masaa 10)
2. Unatumia dawa? Zipi?
3. Unatumia suppluliments? Zipi?
4. Hufanyi lolote mwili unajiendesha tu...

Karibuni.
Kama unafanya weight training basi stretching baada ya mazoezi na kwenye recovery days inasaidia sana.
 
Back
Top Bottom