Gym "guys" je ni njia gani unatumia kupunguza uchovu baada ya mazoezi kupata matokeo?

Gym "guys" je ni njia gani unatumia kupunguza uchovu baada ya mazoezi kupata matokeo?

Napitia swimming then nakula msosi then nakula kwenye jua

what a feeling
 
Kuna siku alianza eti kunipiga nyama za tumbo, ghafla akahamia kwenye traco ananipiga nikamwambia “Acha ucenge” 😹😹

Ila gym kuna upuuzi sana.
Kuna mkaka yeye mcheza mpira basi akiniona nimefika anataka ajifanye trainer anaforce anifanyishe mazoezi anamuomba trainer kabisa..!! Nikaona hapa sasa jau 😹😹

Sema yule kaka mzuri bana 🙈
Ila wacheza mpira wengi vicheche sana..!!
Mabwakuuu hivi coca yupo wapi

Sema Lamomy na wewe si ungemuonja huyo mcheza mpira 🫣🫣
 
SUnrise beach, south beach , kipepeo beach... yale ndio maeneo yangu,

Aliekwambia tako lazima liwe kubwa ndio livutie nani.. kuna vindimu vingine laini, ukikishika kimeshikika, sio tako gumu kama NYANYA NTOLE.🤣
Kuna siku nitakujoin Sunrise beach afu najikausha kama sio mimi 😹😹

Umeanza maneno yako 😹😹😹
Vindimu was necessary?

Nyanya ntole ndo kinini tena?
 
Mwanaume akiwa Hb akifanya na mazoezi anavutia sana..!! 😍

Mazoezi kiwanja kipi nije?
Mie mtaani kwangu sina kiwanja maalum, sababu ya UKORONGWA kiwanja chochote naingia na nacheza, nikijiskia kwenda hiki naenda nabonda, niona leo huku, naenda nakiwasha...
 
Weeeh tukionjesha onjesha hovyo si kitaisha jamani..!! 😹😹😹

Udugu kafungiwa na baba tamu. Hapo mpaka kurudi na mate anaanza kutema..!! 😹
Kiishe kwani imekuwa sukari guru hiyo?
 
Mie mtaani kwangu sina kiwanja maalum, sababu ya UKORONGWA kiwanja chochote naingia na nacheza, nikijiskia kwenda hiki naenda nabonda, niona leo huku, naenda nakiwasha...
Kwahiyo na mimi niwe navamia kiwanja chochote nifanye mazoezi? 😹😹😹
Maka hauko serious, em sema kiwanja ambacho wewe ni mkulungwa hapo..!
 
Kuna siku nitakujoin Sunrise beach afu najikausha kama sio mimi 😹😹

Umeanza maneno yako 😹😹😹
Vindimu was necessary?

Nyanya ntole ndo kinini tena?
Si ndio zile nyanya chungu!! 😂🤣

Karibu utanikuta tu napsha moto shahawa zangu..
 
Weeeh tukionjesha onjesha hovyo si kitaisha jamani..!! 😹😹😹

Udugu kafungiwa na baba tamu. Hapo mpaka kurudi na mate anaanza kutema..!! 😹
Nipeee mimi ni muonje nina hali mbaya naweza kula chochote hata nyasi😅😅😅😅😅

Ila coca ndio hata asionekane
 
Pumzika masaa 6 au zaidi ndani ya masaa 24(kurecover)

Sups sio mbaya ikiwa unaitumia kwa kazi ya mwili e.g bodyguard,body building nk.Ikiwa unafanya mazoezi kama sehemu ya afya vya kuzimgatia mni mlo sahihi na kwa wakati,maji mengi moyo ueleee ma matunda ya kutosha

Hakuna dawa ya kupunguza maumivu vbaada ya mazoezi hata ya kuchua pia inatesa mno muscles usidanganywe na mapharmacist.

Kunyanyua vyuma vizito sio sehemu ya mazoezi otherwise uwe na uwezo huo naturally baada kunashida kama maumivu ya misuli,kuvinjika mifupa au ufa bawasili na maumivu ya mishipa ya moyo.
 
Kwahiyo na mimi niwe navamia kiwanja chochote nifanye mazoezi? 😹😹😹
Maka hauko serious, em sema kiwanja ambacho wewe ni mkulungwa hapo..!
Wewe ukivamia utakula za uso..
Mie boli nimecheza ujanani mwangu, ndio maana viwanja vyote maarufu., na kila niendapo ni shangwe.
 
Back
Top Bottom