Gym "guys" je ni njia gani unatumia kupunguza uchovu baada ya mazoezi kupata matokeo?

Gym "guys" je ni njia gani unatumia kupunguza uchovu baada ya mazoezi kupata matokeo?

Jibu ni hili huna haja ya jibu lingine.
Ila unapiga kutengeneza na kujaza misuli au ? Au ni kutafuta mwili mkakamavu na kishepu cha mazoezi??
Nimekwambia nilikua overweight so nilianza program ya gym kwa ajili ya kupungua na kukaza nyama

Na lengo kubwa niwe mkakamavu
But nipo na look nzuri sio kama jana dume still I'm a girl 😁
Kuna dada anaitwa loveness unamfahamu?
Yule ni dada au ni mkaka jamani🤣🤣
 
Nimekwambia nilikua overweight so nilianza program ya gym kwa ajili ya kupungua na kukaza nyama

Na lengo kubwa niwe mkakamavu
But nipo na look nzuri sio kama jana dume still I'm a girl 😁

Yule ni dada au ni mkaka jamani🤣🤣
Hahahaha 😆 ulinistua nikasema game over kama ivo ni sawa Dada angu.

Over weight inavuta kisukari, pressure na maumivu ya magoti na uti wa mgongo..
.
Hongera sana yule loveness yule mmmh hapana kwakweli
 
Wafanya mazoezi huponya na kurejesha miili yao haraka kwa kunyoosha misuli, kunywa maji ya kutosha, kupata chakula chenye protini na wanga ndani ya saa moja, kuoga maji ya kubadilisha (moto na baridi), na kulala kwa masaa 7 hadi 8. Mbinu hizi huondoa uchovu na kuzuia maumivu makali ya misuli.
 
Take a good shower

Kwenye recovery inategemea na aina ya zoezi

Kula fibres kwa wingi for joints rublication

Usi pendelee sana supliments Zina side effects na preservatives.

Tafuta Natura sources, usile nyama sana hasa red meat for protein, tafuta maziwa, beans, fish na pork.

Also lala hata kama ni mchana,
 
Uzi huu ni kwa ajili ya watu wa mazoezi wanaoenda gym au wale wanaofanya mazoezi makali iwe ya kukimbia, mazoezi ya viungo au high intensity interval training (HIIT) au kunyanyua vitu vizito.

Je unatumia njia gani kurecover after mazoezi? Especially kama unafanya siku 3 mpaka 5 kwa week?

1. Kupumzika sana (zaidi ya masaa 10)
2. Unatumia dawa? Zipi?
3. Unatumia suppluliments? Zipi?
4. Hufanyi lolote mwili unajiendesha tu...

Karibuni.
Kuchapa mbususu uhakka baada ya kupumnzika inaufanya mwili kuwa mwepesi sana
 
Hua unafanya mazoezi gani
Ni kiwa na maana kwa lengo gani diha?
Ya kuweka mwili vizuri, lakini zile squat na za kukaza nyama za tumbo naona kama zinanipa maumivu..!!

Yani nikianza period nableed mpaka nahisi damu itaisha mwilini..!!
Nikiacha na hiyo hali inakata.
 
Ni kweli niliwahi kunyanyua chuma uzito mkubwa nilipata shida kwenye kibofu cha mkojo but now nipo ok
Hatari sana mzee,kama mnazi sana wa mazoezi achana na machuma kuwa tu unakimbia KMs zako kadhaa kwa siku hukosi kuingiza kitu mwilini lengo la mazoezi ni kuimarisha afya siyo kuiharibu.
 
Ya kuweka mwili vizuri, lakini zile squat na za kukaza nyama za tumbo naona kama zinanipa maumivu..!!

Yani nikianza period nableed mpaka nahisi damu itaisha mwilini..!!
Nikiacha na hiyo hali inakata.
Beba uzito mdogo ukiwa unaanza mahi pia anza na mazoezi ya viungo kabra hujafanya squat ikimaliza nyoosha viungo

Ukiona unaumia ujue unakosea mwambie train akuelekeze namna ya kufanya au angalia video hata mtandaoni

Ukisikia maumivi acha mara moja

Mazoezi ya tumbo kawaida hua yanauma ila maumivu yakizidi ongea na train wako
 
Hatari sana mzee,kama mnazi sana wa mazoezi achana na machuma kuwa tu unakimbia KMs zako kadhaa kwa siku hukosi kuingiza kitu mwilini lengo la mazoezi ni kuimarisha afya siyo kuiharibu.
Ilikua kosa tu siwezi kuacha chuma nitapmzika tu napenda mnoo
 
Kutumia dawa yoyote ili kupunguza maumivu baada ya mazoezi nahisi sio sahihi.

Anza mazoezi taratibu kadri muda unavyoenda utajikuta unakuwa perfect zaidi.

Ukiona unapata maumivu makali baada ya mazoezi basi kuna kitu unakosea

Either kama unakimbia basi huna vifaa sahihi kama gym basi unaforce uzito.

Mimi kila jumamosi natembea 25km kwa wiki mapumziko mara mbili.

Sipendi gym ni mtu wa walking running na viungo.

Ila nina mpango wa kuanza Gym next few days
Mkuu...
Mimi nafanya mazoezi yote. Kuna siku nakimbia na kuna siku naingia gym.

Tatzo langu lilianza baada ya kubadili muda wa mazoezi. Kutoka saa 11 asubuhi kwenda saa 12 jionii. So tatzo mainly likawa mazoezi ya usiku yani saa 12 mpaka saa 3 usiku yanafanya window ya kupumzika kuwa ndogo.

Assume unatoka saa 3 mpaka ule chakula chepesi cha jioni ni saa 4 usiku.

Mwili unakua umechoka na misuli kuvuta. Mpaka upate usingizi ni shughuli.

Recovery ya mwili inaletwa na
1. Kulala masaa 7-8
2. Kula protin ya kutosha.
3. Kula vyakula vyenyw vitamin , zinc magnesium, omega 3 (mafuta ya samaki).

Mambo hayo yote yanafanya mwili kuwa unapumzika na kuamka fresh.

TAtzo je unapataje madini yote hayo kwa vyakula vyetu hv?

Siku hizi kuota jua tu shughuli yani.
Maisha yapo race sana.
 
Back
Top Bottom