Trainer nikimwambia mbishi anasema nadeka…!!
Kuna zoezi nilifanya mwisho akaniambia njoo nikunyooshe mgongo. Nikalalia tumbo akapanda mgongoni kwangu akanikalia kwenye bambataa akaivuta mikono yangu kwa nyuma kwa nguvu aiseee nilisikia maumivu hadi ikabidi wanieke kwenye mashine ya massage na toka hapo sikurudi tena NIKAMTUKANA 😹😹
Nikitaka zoezi la kukimbia hataki yeye anataka ya kunifanyisha yeye tu.!!
Vile nikibinuka akinishikilia miguu yeye roho yake kwatuuuuuu…!! 😹
Hivi
makaveli10 na huko kwenye gym zenu kuna matrainer kama huyu?