ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
ShenziiiiiBasi hapo swali la hyperbolic nime intergrate by parts 😂🤣
ShenziiiiiBasi hapo swali la hyperbolic nime intergrate by parts 😂🤣
La haula..Mpe Tonn 😹😹
Coca atarudi kuna muda unaamua kuipumzisha akili na mitandao..!
Mume wake ana wivu kamuweka busy ila atarudi tu..!!
Umemng'ang'ania huyo Tony hehMpe Tonn 😹😹
Coca atarudi kuna muda unaamua kuipumzisha akili na mitandao..!
Mume wake ana wivu kamuweka busy ila atarudi tu..!!
Mi si nakaa pembeni naendelea na mambo zangu peke zangu watanipa vipi za uso?Wewe ukivamia utakula za uso..
Mie boli nimecheza ujanani mwangu, ndio maana viwanja vyote maarufu., na kila niendapo ni shangwe.
Imekuwa chuma hii hadi igirisiwe? 😹😹Ukipumzisha itaota kutu, mali inahitaji kugrisiwa mara kwa mara.
😂🤣Shenziiiii
Aiiiii mama sijiiiii 😹😹Aiii, umekuwa zuchu, acha zako njoo
Lakwata 😹La haula..
Zaidi ya chuma hiyo, chuma cha pua, gearbox hiyo inahitaji kumwagiwa oil mara kwa mara iwe lainiImekuwa chuma hii hadi igirisiwe? 😹😹
Si nimeona kathubutu 😹😹Umemng'ang'ania huyo Tony heh
😅😅😅
Nenda utapata zaidi ya mazoezi huyo ji mtumishi pia anatoa mapepoAiiiii mama sijiiiii 😹😹
Marehemu banza kuna ngoma mwisho anasema ni utoto tu, akikua ataacha..Aiiiii mama sijiiiii 😹😹
Weeh sumu haijaribiwi kwa kulamba 😹😹Nenda utapata zaidi ya mazoezi huyo ji mtumishi pia anatoa mapepo
😅😅😅 mie sitaki bhnaSo nimeona kathubutu 😹😹
UnaniuziiiiiiWeeh sumu haijaribiwi kwa kulamba 😹😹
Trooka zako 😹Zaidi ya chuma hiyo, chuma cha pua, gearbox hiyo inahitaji kumwagiwa oil mara kwa mara iwe laini
Uliposema amuonje nikatafsiri km chumvi kwenye mboga yule mcheza mpira.Mtili wandu unacheka nini mahi🤣
Wee una kazi ya kuchochea mi sina mpodido wa majaribio 😹😹Unaniuziiiiii