joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Eheee huyu yupo duu, huu upuuzi kwa mtoto wa kiume hutakiwi kuongea mbele za watu au labda anasingle mpya, anatafuta Kiki. Ila kama akili zake ndio hizi, kuwaonea wivu na chuki wanaume wenzake, namuonea huruma mke wake flora na watoto wake, mwanaume hutakiwi kuzungumza hivi.