tofali
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 4,010
- 3,419
Hlf huyu mwingine hawajawahi mpost..yupo kweli??hlf africa walimbemenda yule alizoofuWako watatu,kuna tanzanite,afrika huyu mwingine jina sijui ndo nani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hlf huyu mwingine hawajawahi mpost..yupo kweli??hlf africa walimbemenda yule alizoofuWako watatu,kuna tanzanite,afrika huyu mwingine jina sijui ndo nani.
Inahusiana na nini kwani? Account ya hbb ina followers 95k hiyo ni fan page tuu yenye followers 500.
Vitu vingine haihitaji kuwa mke wa MTU ndio uelewe
Ni irene uwoya wewe, unakurupuka nini?H baba alitoswa na Wolper kisa hana hela....Wolper alisema akikaa na h baba atafulia
Haya sasa ni zaidi ya mahaba mkuu.Kwa utajiri alionao Diamond Platnums anaweza kununua nyumba zote zilizopo dar..
Na bado akabakia na chenji za kuhudumia wakazi mji wa Kibaha kwa muda wa miezi 7.