H: Baba amponda Diamond kwa kupost nyumba, asema kama ni mkweli aonyeshe hati

H: Baba amponda Diamond kwa kupost nyumba, asema kama ni mkweli aonyeshe hati

Nadhani kilicho bora na muhimu kwake na kitakachomfaa zaidi sio kuona hati za nyumba ila ni yeye kufanya juhudi ili kupata zake...ok ikitokea huyo mwenzake akapost hizo hati kisha akamwambia naye a post zake atafanyaje?si'kuumbuana huko?
1477537368146.jpg
 
Namshauri h baba a post watoto wake 5 nyumba itakua Maji marefu kwake
 
Mkuu huyu sio wa Dar...ni Msukuma wa huko kwenu Mwanza ila akili zake fyatu kama yule msukuma mwingine mweusi Baraka da prince
Kupatwa kwa Wasukuma. I wish pioneer "Ng'wanamalia kolobelaga lusumo lwane jaga ng'wigulya, jaga ubagisha shikamoo abakolobela ng'weli" Mtoto wa Dandu angekuwepo. Hawa na wenzao akina Dudubaya na Bob Haisa mashudu tupu!
 
Sijawahi kumpenda huyu jamaa na hata huwa sijui anafanya nini. Janaume zima linakalia majungu na umbea badala ya kufanya kazi, mxieeew.
 
Ile sio account ya hbaba.
Haya jiandaeni mkatafute hela
 
ashawahi Ona kina p square wanaposti risiti walizonunulia private jet zao,au hajawahi Ona kina Chris Brown wanaonesha nyumba zao hadi kwa TV,mwambieni anunue TV awe anaangalia MTV my crib,s
Kuna kamod kamoja kameedit hii comment.
 
Huyu naye mbona yeye hajawahi hata kuonyesha kadi ya gari...
 
We ni Mrs. H Baba?
Inahusiana na nini kwani? Account ya hbb ina followers 95k hiyo ni fan page tuu yenye followers 500.
Vitu vingine haihitaji kuwa mke wa MTU ndio uelewe
 
Inahusiana na nini kwani? Account ya hbb ina followers 95k hiyo ni fan page tuu yenye followers 500.
Vitu vingine haihitaji kuwa mke wa MTU ndio uelewe
Na audio clip umeiskiliza?
 
Kwa utajiri alionao Diamond Platnums anaweza kununua nyumba zote zilizopo dar..
Na bado akabakia na chenji za kuhudumia wakazi mji wa Kibaha kwa muda wa miezi 7.
 
ukiona mwanaume unachukia mafanikio ya mwanaume mwenzio hapa kuna tatizo
msukuma gani huyu? haangali mwenzie fid q anavyojielewa!
 
Back
Top Bottom