joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Mkuu huyu sio wa Dar...ni Msukuma wa huko kwenu Mwanza ila akili zake fyatu kama yule msukuma mwingine mweusi Baraka da princeWanaume wa Dar
Mchezaji mpya wa Mbao fc ya Mwanza.hivi Hbaba ni nani wakuu..??
Mchezaji mpya wa Mbao fc ya Mwanza.hivi Hbaba ni nani wakuu..??
Kwa hiyo hata zikiwa kiki za nyumba hewa H baba anapata faida gani?Axe yupo sahihi,zisije zikawa kiki za nyumba hewa.
Ni Irene uwoya bwan sio wolperH baba alitoswa na Wolper kisa hana hela....Wolper alisema akikaa na h baba atafulia
Huyu h baba toka aoe zake amezaa watoto 5 kwa mdaa wa miaka 6Huyu jamaa mjinga sana badala huo mda anaotumia kutokwa povu amusaidie mke wake kupost matangazo IG waingize mkwanja yeye anaulizia hati ya nyumba ya mwanaume mwenzie Daimond kashawambia hiyo kwanza ndio rasharasha mvua yenyewe inakuja!
-Nyerere-
Mkuu mbona huwa naona anawapost watoto wawili tu kwenye page yake!Huyu h baba toka aoe zake amezaa watoto 5 kwa mdaa wa miaka 6
Mipasho ya kipuuzi kweli hii kama yeye kapost picha ya nyumba yeye kinamuuma nini?H baba amemponda Diamond kwa kupost nyumba kisa eti Ali Kiba katuma, amesema kama yeye ni mkweli ana nyumba aposti hati ya nyumba, sio mwenzake akipost nyumba naye anapost