Nadhani kilicho bora na muhimu kwake na kitakachomfaa zaidi sio kuona hati za nyumba ila ni yeye kufanya juhudi ili kupata zake...ok ikitokea huyo mwenzake akapost hizo hati kisha akamwambia naye a post zake atafanyaje?si'kuumbuana huko?
Baraka da prince jaruo huyo hana maonoMkuu huyu sio wa Dar...ni Msukuma wa huko kwenu Mwanza ila akili zake fyatu kama yule msukuma mwingine mweusi Baraka da prince
Lkn nyie na wadada was mkoani mnawashobokea sanaWanaume wa Dar
Kwahiyo hapo wolper kaingiaje kama si moja ya NNE weweH baba alitoswa na Wolper kisa hana hela....Wolper alisema akikaa na h baba atafulia
Kupatwa kwa Wasukuma. I wish pioneer "Ng'wanamalia kolobelaga lusumo lwane jaga ng'wigulya, jaga ubagisha shikamoo abakolobela ng'weli" Mtoto wa Dandu angekuwepo. Hawa na wenzao akina Dudubaya na Bob Haisa mashudu tupu!Mkuu huyu sio wa Dar...ni Msukuma wa huko kwenu Mwanza ila akili zake fyatu kama yule msukuma mwingine mweusi Baraka da prince
Mkata mauno mmoja hivi. unzungusha kiuno kama feni.hivi Hbaba ni nani wakuu..??
Kuna kamod kamoja kameedit hii comment.ashawahi Ona kina p square wanaposti risiti walizonunulia private jet zao,au hajawahi Ona kina Chris Brown wanaonesha nyumba zao hadi kwa TV,mwambieni anunue TV awe anaangalia MTV my crib,s
Ile sio account ya hbaba.
Haya jiandaeni mkatafute hela
Inahusiana na nini kwani? Account ya hbb ina followers 95k hiyo ni fan page tuu yenye followers 500.We ni Mrs. H Baba?
Na audio clip umeiskiliza?Inahusiana na nini kwani? Account ya hbb ina followers 95k hiyo ni fan page tuu yenye followers 500.
Vitu vingine haihitaji kuwa mke wa MTU ndio uelewe