H: Baba amponda Diamond kwa kupost nyumba, asema kama ni mkweli aonyeshe hati

Inahusiana na nini kwani? Account ya hbb ina followers 95k hiyo ni fan page tuu yenye followers 500.
Vitu vingine haihitaji kuwa mke wa MTU ndio uelewe


Hivi unaongelea account ya nini, benki?
 
Ukiona hivo anaomba HURUMA ya kiba,ili afanye nae wimbo.
 
Hao ndiyo wanazidi kuwaharibia wanaume wa dar;
akili sufuri.
 
Floyd mayweather anavyoposti mali zake ikiwepo mihekalu yake huwa anaweka na hati za hiyo mihekalu????,wabongo tuache wivu wa kipumbavu,mbona yeye analelewa na mke wake watu wanaona yote ni maisha tu,tufanye kazi tuachieve ndoto zetu,tusipende kuwashusha waliojiongeza na kufanikiwa,roho mbaya haitufikishi popote
 
Hilo nalo neno, sema hamna Wa kulifatilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…