H. Baba msanii mwenye Jumba kali kuliko wote Tanzania

H. Baba msanii mwenye Jumba kali kuliko wote Tanzania

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,118
Reaction score
4,863
H baba katupia picha za mjengo wake ni kali kuliko za wasanii wengine. Kumbe kuna wasanii wana hela zaidi ya diamondi
Screenshot_20180408-115041.png
Screenshot_20180408-115028.png
 
Hivi huyujamaa ni mtanzania kweli? Mbona ana mandevu uso mzima!! Naomba uhamiani wamuite atuoneshe cheti cha baba, babu, bibi na baba yake babu
Pia huwa nahisi jamaa anatumia yale mamiti waliyoagiza polisi wasiyakate
nilikuwa nawaza tu waungwana
 
I hope umejifunza kitu baada ya kupost mafanikio ya mtu na kubeza wengine....mafanikio ya mtu hayapimwi kwa kumpambanisha na mtu mwingin alafu pia nyumba sio kipimo cha mtu kuwa na hela nying kuzid mwingine grow up kid
 
Nna mashaka na umiliki wa iyo nyumba kuna watu hawana haya hata kupost kitu ambacho siyo chake
Inawezekana ni ya kwake, lakini uwa anatumia nguvu nyingi kushindana na mtu ambaye uwa hashindani naye ndipo hapo uwa anaonekana kituko.
Nakumbuka diamond aliposena kanunua nyumba S.A , jamaa alikomalia eti aweke hati yani kama vile ile nyumba inamhusu hata broker aliposema kuwa kweli diamond kainunua jamaa aliendelea kusema siyo kweli.
Mara kadhaa amekuwa akimpinga diamond wakati inavyoonekana diamond hata hanaga time naye.
Sijui diamond alimkosea nini huyu jamaa maana akiwa na kitu akapost caption ya picha itakuwa diss kwa diamond.
 
Miaka 6 iliyopita H.baba alilalamika kuibiwa idea ya wimbo Nataka Kulewa na Diamond, walikutana studio za G record , baada ya hapo ndo kama unavyosema ndugu Mtafuta Maisha...........,aha aha aha
 
Miaka 6 iliyopita H.baba alilalamika kuibiwa idea ya wimbo Nataka Kulewa na Diamond, walikutana studio za G record , baada ya hapo ndo kama unavyosema ndugu Mtafuta Maisha...........,aha aha aha
Wimbo wa H-baba wa nataka kulewa yani ulikuwa tofauti na wa diamond sema title ndo zikafanana na kawaida title za nyimbo kufanana.
Kuna kipindi Hbaba alionekana kama kamkubari diamond na akaanza kumpongeza instagram na diamond akawa ana mshukuru akiona pongezi ila nahisi Hbaba anatamani sana kuwa karibu na diamond maana alipoona jamaa anaishia kumshukuru tu, akarudi kumponda kama zamani
 
Back
Top Bottom