Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi anajichubua!?mbona namuonaga ni mweusi,wanae na mkewe ndo weupe peeeeHuyu si ndio yule mariooo anayejichubua kabisa.
Kama anaweza post kitu si chake atakuwa fala sana, ila we never know labda jamaa ana deal nyingine za maana.Nna mashaka na umiliki wa iyo nyumba kuna watu hawana haya hata kupost kitu ambacho siyo chake
Inawezekana ni ya kwake, lakini uwa anatumia nguvu nyingi kushindana na mtu ambaye uwa hashindani naye ndipo hapo uwa anaonekana kituko.Nna mashaka na umiliki wa iyo nyumba kuna watu hawana haya hata kupost kitu ambacho siyo chake
Kuna kipindi ndiye alikuwa msambazaji wa big G flani toka kenya. Yeye alikuwa wakala wao tzAnafanya ishu gani siku hizi? Maana biashara ya muziki wa kujenga nyumba hii hana.
Miaka 6 iliyopita H.baba alilalamika kuibiwa idea ya wimbo Nataka Kulewa na Diamond, walikutana studio za G record , baada ya hapo ndo kama unavyosema ndugu Mtafuta Maisha...........,aha aha ahaInawezekana ni ya kwake, lakini uwa anatumia nguvu nyingi kushindana na mtu ambaye uwa hashindani naye ndipo hapo uwa anaonekana kituko.
Nakumbuka diamond aliposena kanunua nyumba S.A , jamaa alikomalia eti aweke hati yani kama vile ile nyumba inamhusu hata broker aliposema kuwa kweli diamond kainunua jamaa aliendelea kusema siyo kweli.
Mara kadhaa amekuwa akimpinga diamond wakati inavyoonekana diamond hata hanaga time naye.
Sijui diamond alimkosea nini huyu jamaa maana akiwa na kitu akapost caption ya picha itakuwa diss kwa diamond.
Wimbo wa H-baba wa nataka kulewa yani ulikuwa tofauti na wa diamond sema title ndo zikafanana na kawaida title za nyimbo kufanana.Miaka 6 iliyopita H.baba alilalamika kuibiwa idea ya wimbo Nataka Kulewa na Diamond, walikutana studio za G record , baada ya hapo ndo kama unavyosema ndugu Mtafuta Maisha...........,aha aha aha
Aliomba apige picha kwenye nyumba yetuGood house, hongera kwake