Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mlevi yeyote awe wa Konyagi , Wine , Tusker , gongo au madaraka ni lazima ayumbeyumbeMara hii Museveni hii move haikuwa nzuri kampa jamaa umashuhuri sana
Lisu wasiliana naye msaidie kuandaa presentation yake akihusisha/akichomeka na ishu yako ( fate zenu ni sawa) na urafiki wa madikiteita watatu MwanaHabari , that could be a marvelous presentation Mwanahabari Huru
Nilisoma post ya Bob Wine akielezea tukio lilivyotokea, Inasikitisha sana jamaa sijui kwanini aliamua fanya hivyo nadhani kwa sasa anajuta. Huko kwenye group la Waganda fb wanadai Museven anataka potezea habari Bob Wine eti ndiye kapanga mauaji ya huyo mkuu wa polisi aliyeuawa yeye na mkewe ili kufunika habari za BobMlevi yeyote awe wa Konyagi , Wine , Tusker , gongo au madaraka ni lazima ayumbeyumbe
Umesikika mkuu .Lisu wasiliana naye msaidie kuandaa presentation yake akihusisha/akichomeka na ishu yako ( fate zenu ni sawa) na urafiki wa madikiteita watatu MwanaHabari , that could be a marvelous presentation Mwanahabari Huru
nimeona hiyo kitu nikashangaa sana !Nilisoma post ya Bob Wine akielezea tukio lilivyotokea, Inasikitisha sana jamaa sijui kwanini aliamua fanya hivyo nadhani kwa sasa anajuta. Huko kwenye group la Waganda fb wanadai Museven anataka potezea habari Bob Wine eti ndiye kapanga mauaji ya huyo mkuu wa polisi aliyeuawa yeye na mkewe ili kufunika habari za Bob
Erythrocyte tatizo letu sisi wabongo (Tz) ni uoga. Kwa tatizo la kufanana na hilo la Bobi Wine (TAL), na hata lile la UKUTA ilitakiwa maandamano ya nguvu. Na sauti ya dunia kukemea ingekuwa kubwa sana.Mlevi yeyote awe wa Konyagi , Wine , Tusker , gongo au madaraka ni lazima ayumbeyumbe
Tatizo letu ni woga as you have put it. tunaogopa ku sacrifice maisha yetu for the benefit of coming generations! Watu wametupwa kwenye sanadarusi , hakuna kilichokemewa, hata kuifanya international community ipate taarifa of these atrocities!Erythrocyte tatizo letu sisi wabongo (Tz) ni uoga. Kwa tatizo la kufanana na hilo la Bobi Wine (TAL), na hata lile la UKUTA ilitakiwa maandamano ya nguvu. Na sauti ya dunia kukemea ingekuwa kubwa sana.
Hili la Bobi Wine waganda wameionyesha dunia kuwa hawakubaliani na matendo ya watawala .
Amempa kiki sana msela. Sahiv atakuwa na power zaid maana wakuu wa nje watakuwa nyuma yakeMara hii Museveni hii move haikuwa nzuri kampa jamaa umashuhuri sana
Museveni awe macho, akimgusa ameguswa!Amempa kiki sana msela. Sahiv atakuwa na power zaid maana wakuu wa nje watakuwa nyuma yake
Uoga na unafki ndio sifa kuu ya wabongo. Ndio maana hata serikal inatudharau sana.Tatizo letu ni woga as you have put it. tunaogopa ku sacrifice maisha yetu for the benefit of coming generations! Watu wametupwa kwenye sanadarusi , hakuna kilichokemewa, hata kuifanya international community ipate taarifa of these atrocities!