H.E.Bobi Wine to appear in the USA top congress

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Huu waweza kuwa mwanzo wa siasa mpya kwenye eneo la maziwa makuu .

FB_IMG_1536506329434.jpg
 
Mlevi yeyote awe wa Konyagi , Wine , Tusker , gongo au madaraka ni lazima ayumbeyumbe
Nilisoma post ya Bob Wine akielezea tukio lilivyotokea, Inasikitisha sana jamaa sijui kwanini aliamua fanya hivyo nadhani kwa sasa anajuta. Huko kwenye group la Waganda fb wanadai Museven anataka potezea habari Bob Wine eti ndiye kapanga mauaji ya huyo mkuu wa polisi aliyeuawa yeye na mkewe ili kufunika habari za Bob
 
nimeona hiyo kitu nikashangaa sana !
 
Mlevi yeyote awe wa Konyagi , Wine , Tusker , gongo au madaraka ni lazima ayumbeyumbe
Erythrocyte tatizo letu sisi wabongo (Tz) ni uoga. Kwa tatizo la kufanana na hilo la Bobi Wine (TAL), na hata lile la UKUTA ilitakiwa maandamano ya nguvu. Na sauti ya dunia kukemea ingekuwa kubwa sana.
Hili la Bobi Wine waganda wameionyesha dunia kuwa hawakubaliani na matendo ya watawala .
 
Tatizo letu ni woga as you have put it. tunaogopa ku sacrifice maisha yetu for the benefit of coming generations! Watu wametupwa kwenye sanadarusi , hakuna kilichokemewa, hata kuifanya international community ipate taarifa of these atrocities!
 
Uoga na unafki ndio sifa kuu ya wabongo. Ndio maana hata serikal inatudharau sana.
 
Back
Top Bottom