Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Move ya huyu jamaa imekuwa boosted na Museveni mwenyewe, popularity ya jamaa imekuwa juu kiasi museven hawezi tena kuzima moto
Na tujiandae kupokea wakimbizi toka Uganda ! maana alishagasema yeye ni quarter pin ya baiskeli, kuingia kwa nyundo na kutoka kwa nyundo...Mseven akae mguu sawa, anatafutwa hapa na udikteta wake
Umuulize Kizza Besigye ilikuwaje!Move ya huyu jamaa imekuwa boosted na Museveni mwenyewe, popularity ya jamaa imekuwa juu kiasi museven hawezi tena kuzima moto
Dogo anaakili sana. angalia anajibu maswali bila kuumauma, yaani anaakili za kuzaliwa. Huwezi fananisha na wapinzani wa hapa kwetu. wapa kwetu wanajiangalia wao tu.Dogo ana akili sana, halafu na yule lawyer wake Robert Amsterdam ni balaa kwenye issue za dizaini hii.
Nilipitia CV ya huyo lawyer, nikasema naam!
Tatizo letu ni woga as you have put it. tunaogopa ku sacrifice maisha yetu for the benefit of coming generations! Watu wametupwa kwenye sanadarusi , hakuna kilichokemewa, hata kuifanya international community ipate taarifa of these atrocities!
Teknolojia imebadilika tokea miaka hiyo ya early 80's labda tumpokee yeye kama mkimbiziNa tujiandae kupokea wakimbizi toka Uganda ! maana alishagasema yeye ni quarter pin ya baiskeli, kuingia kwa nyundo na kutoka kwa nyundo...
Forget it !Mimi nawambia huyu kijana ana nguvu ya Trump na anamwondoa madarakan Mseveni
Technologia mpya ni ipi itakayo tumika kumuodoa ?Teknolojia imebadilika tokea miaka hiyo ya early 80's labda tumpokee yeye kama mkimbizi
mkuu hata Waganda wamechelewa sana, Besigye kateswa miaka mingi mno kupita hata Mateso ya Watz, tukiachilia la TL.Erythrocyte tatizo letu sisi wabongo (Tz) ni uoga. Kwa tatizo la kufanana na hilo la Bobi Wine (TAL), na hata lile la UKUTA ilitakiwa maandamano ya nguvu. Na sauti ya dunia kukemea ingekuwa kubwa sana.
Hili la Bobi Wine waganda wameionyesha dunia kuwa hawakubaliani na matendo ya watawala .
Sio rahisi ki hivyo kwani hayo ni matokeo ya reaction ya waganda baada ya tukio la bobi wine!!sisi hapa tunazidiwa hata na waganda?!!!JISAIDIE NAWE UTASAIDIWA!!Aisee...
Lissu nae aalikwe jamani.
Lisu apambane na hali yake kwanza.Bobi Wine amchukue Tundu lissu awe best-man wake katika kutoa hio speech[emoji18]
amjulishe ns mshenga wakeMseven akae mguu sawa, anatafutwa hapa na udikteta wake
Boss nisikilize,Tatizo letu ni woga as you have put it. tunaogopa ku sacrifice maisha yetu for the benefit of coming generations! Watu wametupwa kwenye sanadarusi , hakuna kilichokemewa, hata kuifanya international community ipate taarifa of these atrocities!
nimeona ndoto yako, vipi mkojo umekauka?[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi nawambia huyu kijana ana nguvu ya Trump na anamwondoa madarakan Mseveni