H.E.Bobi Wine to appear in the USA top congress

Lisu wasiliana naye msaidie kuandaa presentation yake akihusisha/akichomeka na ishu yako ( fate zenu ni sawa) na urafiki wa madikiteita watatu MwanaHabari , that could be a marvelous presentation Mwanahabari Huru
Bobi Wine ni mbunifu sana.
Museveni ashazoea bifu na Byesige.
Hii ya Bobi haikuiona na hajui aidhibiti vipi.
Lissu pia ni kama Byesige sio mbunifu sana..
Angeshalianzisha la maana huko Ubeligiji.
Sasa inabidi amuige Bobi Wine na kupata sapoti yake wkt tukio la Lissu lilikuwa kubwa sana...na hata kuwa hai ni muujiza mkubqa sana.
 
I don't trust these western power,Africa problem should be addressed in our organ/Regional Intergration we have EAC,AU why do we rely on these Western?Every decision of US congress put America interest first;They are swindling our resources and still we beg them!!If they true advocate of democracy why don't they raise their voice in What going in Cameroon,Yemen ?
 
Na tujiandae kupokea wakimbizi toka Uganda ! maana alishagasema yeye ni quarter pin ya baiskeli, kuingia kwa nyundo na kutoka kwa nyundo...
atatoka kwa moto pumbavu zake
 
Dogo anaakili sana. angalia anajibu maswali bila kuumauma, yaani anaakili za kuzaliwa. Huwezi fananisha na wapinzani wa hapa kwetu. wapa kwetu wanajiangalia wao tu.
Wapinzani wa Tanzania ni wapinzani wa ruzuku.

Wao na CCM ni kitu kimoja,wote wanajali matumbo yao.
Watanzania wanatakiwa kujua wao ndio wa kujisaidia na sio hao wanasiasa.
 
Congress ni baraza la madiwani. Wala msipagawe na neno congress. La kawaida sana hilo, pia hii stori haina ukweli wowote sababu imeandikwa tu bila kuweka source ya kuaminika.
 
Source ya kuaminika kwako ni ipi ?
 
Sidhani kama hilo tangazo ni la kweli,taasisi muhimi kama hiyo hawawezi kuandika jina hilo kwenye document yao lazima wangeandika jina lake halisi siyo nick name.!

Mimi pia nimewaza hivyo, kwa kuangalia hata salutation yake, His Excellency?
 
wabongo kwa ubishi ni hatari sana ! hivi kwanza umejua kwanini Bobi Wine kaenda matibabu USA ? au na hilo nalo huamini ?
 
Hayo ya matibabu sihitaji kujua. Hili la kuandika his excellency wewe unaliongeleaje?
 
Mtu anaeonekana kumsupport sana Bobi wine ni Sherman, ambae shida yake kubwa ilianza kwenye kampeni za kupigania haki za mashoga na wasagaji, sitashangaa akitumia nguvu yake kwenye congress kumuingiza Bobi ahutubie, lakini je waganda wataipokea sera yake ambayo Museveni aliipinga?
 
Tatizo letu ni woga as you have put it. tunaogopa ku sacrifice maisha yetu for the benefit of coming generations! Watu wametupwa kwenye sanadarusi , hakuna kilichokemewa, hata kuifanya international community ipate taarifa of these atrocities!
Ni waoga wa kutupwa.Tunajpenda binafsi wakati huohuo tukipenda mambo mazuri lakini yatokane na damu ya mtu au watu wengine.Dola nayo inautumia huo mwanya kikamilifu
 
Mtu anaeonekana kumsupport sana Bobi wine ni Sherman, ambae shida yake kubwa ilianza kwenye kampeni za kupigania haki za mashoga na wasagaji, sitashangaa akitumia nguvu yake kwenye congress kumuingiza Bobi ahutubie, lakini je waganda wataipokea sera yake ambayo Museveni aliipinga?
Hoja ya kitoto.Hapo hoja inayompeleka congress ni ukandamizaji wa uhuru,mambo ya ushoga siyo hoja kwa sasa.
 
Unahisi hawajui kama Mama Diana yuko kifungoni huko Rwanda? Au wenyewe sio ukandamizaji! Kwanini atake kumsaidia Bobi
 
I don't trust these western power,Africa problem should be addressed in our organ/Regional Intergration we have EAC,AU why do we rely on these Western?Every decision of US congress put America interest first;They are swindling our resources and still we beg them!!If they true advocate of democracy why don't they raise their voice in What going in Cameroon,Yemen ?
Bobi did not go to the use to ask the us for support. bali amekwendwa kwa matibabu. hapo hapo kuwalalamika jinsi hela za taxi payer ndo zinawanunulia jeshi la Uganda silaha ambazo zinawatesa wanganda. Ameulizwa anataka wamarekani wafanyaje. akajibu kuwa anawaomba wakae upande wa wakandamizwaji na sio upande wa wakandamizaji.
 
Unahisi hawajui kama Mama Diana yuko kifungoni huko Rwanda? Au wenyewe sio ukandamizaji! Kwanini atake kumsaidia Bobi
Two distinctive cases.Diana ameshitakiwa na kuhukumiwa apparently without torture etc.No whistle-blower in US for Diana as opposed to Bobi's.Hoja ya ushoga haiingii hapo.Find another pretext and lame excuses.
 
I don't trust these western power,Africa problem should be addressed in our organ/Regional Intergration we have EAC,AU why do we rely on these Western?Every decision of US congress put America interest first;They are swindling our resources and still we beg them!!If they true advocate of democracy why don't they raise their voice in What going in Cameroon,Yemen ?
M7 was in TZ last month... I do not think Jiwe dared to talk on political affairs of UGANDA ...these guys sail on the same boat. The West need to interfere....

Brutals.

And you cant stand on your own coz you need aids.
 
Bobi Wine ni mbunifu sana.
Museveni ashazoea bifu na Byesige.
Hii ya Bobi haikuiona na hajui aidhibiti vipi.
Lissu pia ni kama Byesige sio mbunifu sana..
Angeshalianzisha la maana huko Ubeligiji.
Sasa inabidi amuige Bobi Wine na kupata sapoti yake wkt tukio la Lissu lilikuwa kubwa sana...na hata kuwa hai ni muujiza mkubqa sana.
Nadhani Lisu atauona uzi huu! CDM watauona uzi huu!
 
Back
Top Bottom