Ha ha ha mwalimu oyee..!!

Mwalimu shikamoo...nitakuwa mratibu wako na watch man kuangalia tabia na mienendo yako kabla ya kupata post hiyo na baada...nataraji malalamiko ya kucheleweshewa salario na miundombinu duni ya kufundishia yatakuwa mengi toka kwako...by the way nikuulize swali la kizushi...vipi, uwepo wako mbele ya mujini hapa si ndo mwanzo wa kuanzisha koloni lingine na kumweka pending huyu bwana boss for good? Au yeye yupo nyuma ya mabadiliko haya uliyofanyiwa kuhamishiwa kituo bora?
 
Congs Munkari am happy for you. Sasa utafanya kazi kwa moyo mmoja maana akili imetulia na moyo umeridhika
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha yerewiiii namfata !!!! We mchokozi wewe !!...he he he! Naingia klass kidogo nikitoka nikumbushe nikujibu.... Ha ha ha!!
 
daah all the best my dear hadi mimi nimefurahi nimepata pa kufikia full digital lol
 

hongera sana. tunasubiri matunda sasa!!!!
 
ha ha ha yerewiiii namfata !!!! We mchokozi wewe !!...he he he! Naingia klass kidogo nikitoka nikumbushe nikujibu.... Ha ha ha!!

Wait! Wait....tujuze na mapokeo ya wanafunzi huku, i mean sura na figure yako imeweza kuongezea wanafunzi maarifa na "utafiti zaidi" ili kuweza kupata what we call general attachment kwenye academics? Kama ndio tupe mrejesho na kama sio ni wakat wa kupiga mapowder na mamakeups ili kuwaimpress students just incase! Lazima uwe mbunifu kufikia malengo ya BRN!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…