yaani we 'mbebez' ualimu ndo umeona ni kazi jamani!!..hako ka mshahara mnakopewa wengine ndo tunawapa pocket money watoto zetu eti nyie ndo mshahara!!..kwa mwanaume ni udhaifu sana kusomea 'kazi za kike' kama ualimu!!
Kumbe ndo weweee mwalimu mgeni uliekuja jana karibu nilikuwa sijajua kama ni wewe
nimekumis !!!
asante usijali lazima BRN iwe juu mwaka huu loh!!
.....................??!!!!!!!