Ha ha ha mwalimu oyee..!!

Ha ha ha mwalimu oyee..!!

yaani we 'mbebez' ualimu ndo umeona ni kazi jamani!!..hako ka mshahara mnakopewa wengine ndo tunawapa pocket money watoto zetu eti nyie ndo mshahara!!..kwa mwanaume ni udhaifu sana kusomea 'kazi za kike' kama ualimu!!

.....................??!!!!!!!
 
Mwalimu wewe kiboko...kufika na kuhama! Wengine twasota miaka tukitafuta uhamisho...hata faili wizarani halionekani...Hongera kwa kituo kipya...
 
dah mkuu ahsante kwa kuniita huu uzi kumbe ungnipita kimya kimya alafu Munkari hata hajatuaga vizuri wana dar labda tungeandaa party ya kumuaga,na kuserebuka pamoja lol!!!

ha ha ha!! Tungeenda nzetu pale escape kujivinjari Loh
 
Last edited by a moderator:
Nkupa middle finger mkubwa eti mshahra wa mwl.ndio unampa pocket money mwanao!
 
Back
Top Bottom