Habari hii imenisikitisha sana

Habari hii imenisikitisha sana

Baba Dayana

Senior Member
Joined
Jul 1, 2016
Posts
144
Reaction score
330
Habari za kwenu Wana jamii.....!!!

Katika pita pita kwenye mitandao ya kijamii nikakutana na habari hii yakusikitisha ila kilichonisikitisha zaidi ni taarifa ya habari hii kutolewa maamuzi ya mwisho yaliyo niacha na maswali kadhaa
1. Ni kweli kijana huyu mwenye umri mdogo, mke na mtoto Mmoja alijinyonga au alinyongwa?
2. Ni kweli ugumu wa maisha ndo ulio mfanya ajinyonge au alikuwa na magumu mengine tofauti na ugumu wa maisha? Kupika kijana huyu alikuwa na bajaji either iwe yake awe ya kupewa apeleke hesabu
3. Kwanini polisi watoe ripoti siku Moja tu baada ya tukio hili kutokea?

Maono yangu: tusioende kupokea majibu mepesi pindi mtanzania anapopoteza maisha kwa namna yoyote ile

Mwisho: kama Kuna magumu tunayapitia Mimi ni msikilizaji na mtu wa kutoa majibu kwa Yale magumu unayoyapitia (Good listener & adviser) mzuri tu
 

Attachments

  • 20250210_161448.jpg
    20250210_161448.jpg
    285.7 KB · Views: 2
Sasa police nao wa kuwasikiliza hao form leavers wana four ya mwisho ndio wakapata ajira UTAALAM NA KUTOA MAJIBU YA UCHUNGUZ, CRITICAL THINKING WATOE WAPI
 
Back
Top Bottom