Habari mbaya kwa walaji wa Kitimoto: Huenda wengi wao wakaja kupata kifafa!

mkuu naona umeorodhesha magonjwa mengi kwelikweli hadi umenipeleka kwenye somo la medincine na macrobiology, kitu nachoweza kusema ni kuwa nguruwe ana nyama tamu sana, hili si jambo la siri. pia ina ubora kiafya kwa kuwa ni aina ya whitemeat kama unavyojua white meat iko safe na mambo ya cholesterol na mengineyo, na zaidi ya yote hata kwa tathmini yako binafsi maeneo yanayofuga nguruwe hayo magonjwa uliyoorodhesha hayajaonyesha athari za kufikia hatua ya kuacha ulaji ama kuweka quarantine, kiasi kwamba kuna watakaosoma hapa hasa malaymen na kuona kilichoandikwa ni hadithi na si kweli japo kuna ukweli wake. umeandika magonjwa mengi ya nguruwe lakini jua kuna magonjwa mengi ya wanyama wengine pia. kitu nachotaka kusisitiza hapa ni kuwa ulaji wa nyamakwa ujumla una madhara kuliko ulaji wa mimea/majani. mfano nyama maarufu ya kondoo inatatizo la kupelekea matatizo kwenye magoti (gauti) tena kuliko mbuzi!! kwanini basi hawakuiona ni nyama haramu? i dont know?

tukija kwenye upande wa bibilia ni vizuri tukifahamu kuwa namna ya kusomaji na kuielewa bibilia si kama inavyosomwa quran na kuitafsiri. kuna madai nisiyoweza kuthibitisha kuwa kuran inatasfsiriwa kama ilivyoandikwa, kama ni hivyo pengine neno la petro kuotesha kushushuiwa nguruwe kwenye ndoto na akaambiwa ale lakina akakataa akasema hawezi kula najisi na sauti ya mungu ikamjibu kuwa alichokiumba mungu usikitie unajisi lingetosha kabisa kuwafanya wakristo walitumie kutetea ulaji wa nyama ya nguruwe.

kuna neno kwenye baibo linasema kuhusu: ki=umuua mzinzi, kutokufanya kazi siku ya sabato, ulaji najisi.
tukianza na;
mafarisayo walimpelekea yesu mwanamke wakimwambia sheria ya musa inatutaka tumpige mawe tumwuue, lakini mpaka mwisho wa siku yesu hakumuua na waliomuhukumu waliondoka zao bila kumgusa, kama ni kulinganisha tungeanza na kujiuliza je waislamu mwanamke mzinzi anahukumiwaje?

pia kuna matendo yaliyofanyika yalioonekana yakivunja sabato lakini yesu akasema yeye ni bwana wa sabato(kama kula mashuke, kubeba kitanda).

pia kuna swala la kutoa talaka kwa mke yesu alionyesha kulipinga.je waislamu wanamtazamo sawa kuhusu talaka?,
vilevile swala la kuoa wake wengi(ndoa za mitaala, je yesu alisemaje kuhusu idadi ya wanawake wa kuoa na je waislamu wnachukuliaje idadi ya wanawake wa kuoa?

na ukiongezea na hili la ulaji wa nguruwe ukiweka neno la yesu aliposema si kimwingiacho mtu kinamtia unajisi bali kimtokacho kwani kile kimtokacho hupita na kwenda chooni...najua umeshasema kuwa unampenda yesu kwakuwa wewe ni mwislamu,na wakristo wanafuata alichofanya yesu na si kile tu wayahudi walikichukua katika mapokeo yao paradoxically yesu alisoma elimu ya kiyahudi pia. napata picha kuwa namna bibilia inavyotafsiriwa si vile kuran inatafsiriwa na ndio maana wakristo wengi wanakula nguruwe bila kujali andiko hilo linalodaiwa kukataza ulaji huu wa nyama ya nguruwe. naheshimu imani yako lakini najaribu kueleza kwanini wakristo hawajali hilo andiko na wanaendelea kula nguruwe kila kikicha.
wakristo wanamtumia yesu kama role model wao, ambapo yalioandikwa kwenye torati na sheria za musa alionesha kutofautiana nazo, na bibilia imezionyesha sheria zote na ajabu ni pale yesu aliposema hakuja kutangua torati bali kuitimiliza. na hapa ndipo tafsir inapoanzia kwani


mkuu lengo langu hapa ni kuonyesha kuwa namna ya kuitafsiri kuran ni tofauti na ile inayotumika kwenye bibilia. thats it.

yohana 10:34
34 Yesu akawajibu, Je! Haikuandikwa katika torati yenu ya kwamba, Mimi nimesema, Ndinyi miungu? 35 Ikiwa aliwaita miungu wale waliojiliwa na neno la Mungu; (na maandiko hayawezi kutanguka); 36 je! Yeye ambaye Baba alimtakasa, akamtuma ulimwenguni, ninyi mnamwambia, Unakufuru; kwa sababu nalisema, Mimi ni Mwana wa Mungu? 37 Kama sizitendi kazi za Baba yangu, msiniamini; 38 lakini nikizitenda, ijapokuwa hamniamini mimi, ziaminini zile kazi; mpate kujua na kufahamu ya kuwa Baba yu ndani yangu, nami ni ndani ya Baba.
 
Nimepata swali. Yani kinyesi cha mtu kina tegu. Nguruwe akila kinyesi anaambukizwa tegu. Mtu akimla nguruwe aliyepata tegu toka kwa mtu, anaambukizwa tegu ambao wanasababisha kifafa. Kwa nini mtu asijiambukize kifafa hadi amsubiri nguruwe?
 
Hapa inatakiwa ujuwe vizuri mzunguko wa maisha ya tegu(life cycle of Taenia sodium). Hapo utapata jibu la swali lako. Nikiwa na muda nitaandika zaidi.
 
hizi zote ni propanda za ki-neoliberal ambazo zinataka kuonesha kila kinachozalishwa Africa ni substandard, kwanini nguruwe wa Mbeya na sio wa Marekani au kwingineko?
 
Haina maana kuwa ni nguruwe wa mbeya tu. Tumetoa mfano tu wa aina ya ufugaji unaweza kupelekea uenezwaji. Haha maharashtra kwingine kwokote wanakofuga nguruwe kwa utaratibu usiofaa nguruwe wanaweza kuwa na ugonjwa huu. Na si nguruwe wote wa Mbe
 
wa Mbeya. Tafiti zimefanyika pia Nigeria za watt kupata kifafa kinachotoka na tegu
 



Sifikirii kabisa kwamba habari hii ni mbaya kama ilivyopewa kichwa cha habari hapo juu. habari ina maneno mengiiii ambayo ni ya kishabiki tu. Kwa mtazamo wangu hii habari yote ingefupishwa kwa maneno machache ya ushauri kuwa: watu wale nyama ya nguruwe iliyoiva vizuri kutokana na kuweza kuwepo kwa minyoo ya Tegu ambayo inaweza sababisha kifafa, simple. Kwasababu sidhani mpaka sasa kama kuna watu ambao wanakula nyama hii ikiwa mbichi.

 
Watu wengi hawajui madhara ya kula kitimoto ambacho hakijaiva vizuri. kitimoto unatikiwa ukipike mwenyewe nyumbani ili kiive vizuri ili kuua hao minyoo hatari.
 
tangu Adamu na mkewe watende dhambi pale Eden,maeneo ya Iraq,hakuna kilichofaa kwa maisha ya binadamu,Biblia inasemaa vyoote vikalaaniwa.Hakuna kilicho salama hapa Duniani,tunaishi kwa neema za Mungu tu
 
Nipo sinza hapa twende hapo dagadagaa kitu kitamu sana ati

dagaadagaa kwa kitimoto cha kila aina ni kama kwa baresa na bidhaa za unga tatizo mvua mkuu ila hap ukiingia tazama wanapochomea kwa mkono wa kulia unaweza ukala hadi ukaomba poo tatizo ukija hapo wanakupokea juu juu hivyo uwezi juawapi wanatengeza poa,ila sasa hii mvua huo uwanja haujaa jaa maji,pana muinuko kidogo lakini je utakaa wapi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…