Habari mbaya kwa walaji wa Kitimoto: Huenda wengi wao wakaja kupata kifafa!


Kwa mujibu wa maandiko, ndege yeyote asiyepasuliwa miguu hapaswi kuliwa, je ndugu mwandishi huli BATA?

Inawezekana wewe kweli huli bata lakini jamii yote bila kujali dini imekula bata wakati wote bila kumtaja kuwa ni haramu!!

Bata, Ngamia, Sungura, Papa, Kambale, hivi ni baadhi tu ya viumbe haramu kwa mujibu wa Torati, lakini mbona hamvisemi na mmeendelea kula!!?

Mafundisho ya namna hii hayawasaidii kitu unaolenga kuwafundisha! Unapomwambia mtu kuhusu dhambi basi mwambie dhambi zote!
Hakuna dhambi ya kikristo na dhambi ya kiislamu dhambi ni dhambi!

Unamwabia mtu Nguruwe ni dhambi lakini humwambii kuwa WIZI pia ni dhambi, UFISADI, UZINZI, CHOYO na meengi ambayo tumeamua kuyahalalisha kwenye maisha yetu ya kila siku kuwa ni dhambi!!

Tuachane na mafundisho manyonge maana hatutakjitofautisha na WANAFIKI.!!
 
mkuu jambo kama hulijui ni vema ukanyamaza mambo ya dini waachie wanaoijua dini mkuu. mi nakushauri kasome upya afu uelewe na uje twna
 
Kuna "wenyewe" hawaambiliki kwenye hiyo kitu kwa sababu ile minyoo ilishajaa kichwani siku nyingi.
 
Inaruhusiwa kula unapokuwa na njaa. Sasa nani anakula akiwa ameshiba?
 

" mtu mmoja anayo imani na anakula vyote, lakini yeye aliye dhaifu anakula mboga.Yeye alaye asimdharau huyo asiyekula, wala yeye asiyekula asimhukumu huyo alaye, kwa maana Mungu amemkubali" Warumi 14:2-3
 

Pia tupe faida za kufuga majini
 
Last edited by a moderator:
Tangu nikiwa mdogo nakula kitimoto na hakijawahi kuniathiri.. Kuanzia nguruwe wa porini hadi wanaofugwa
 

Ushatibu wangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…