Migato nvaningi
Senior Member
- Sep 7, 2017
- 113
- 99
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siwezi kulaKaribu pilau lake[emoji117]
[emoji39]![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115]Papuchi ina bacteria kibao na minyoo bado tunalamba itakuwa nyama pendwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja yako ni kusema nyama ya nguruwe inaongeza life expectancy?
Kwa hiyo sababu ya wachina kuishi miaka mingi ni kwasababu wanakula kitimoto?
Nikwambie tu life expectancy ina mambo lukuki sio nyama peke yake, mpaka uchumi wa nchi na hali halisi ya maisha vyote vinahusika.
Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
Ana jina la kikirsto....lazma atakua upande wa Ellen G.WhiteJe hudhani pia anaweza kuwa mu Islam.
Lazma atakua alhusika kwa namna moja ama nyngne, hasa hasa katika kufund mpango mzima
Sijakuelewa
Jenga hoja yako kupitia mada iliyoko mezani.Uwe na uchumi mzuri na kila kitu kukidhi haja yako ya kuishi ukila vyakula vyenye athari utakufa mapema tu [emoji15] [emoji4]
[emoji117]Utafiti ndio umegundua hayo na ni wajibu wao Watafiti baada ya kugundua jambo kifuatacho ni kutoa taarifa na ndicho walichofanya. Sasa wewe kama unataka kuendelea kumchapa huyo swine basi kwa wakati wako usishawishi watu.
Jenga hoja yako kupitia mada iliyoko mezani.
Mada kuu ni nyama ya nguruwe.
Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
Huyo mtafiti atakuwa Msabato.
We nae kilaza tu.Mkuu SUA imejaza division 3 nyingi ambazo ni rejects ya Mzumbe, UD, Muhimbil hivyo usishangae katika hilo
Kwani uongo? Ingieni darasani kwanza alafu mje mezani mkabishane, unadhani kwann watalaam wa mifugo wengi wao hawalagi mishikaki?Kwanza makinika nami vizuri kuhusu hizi picture hapa chini:-
View attachment 587398
View attachment 587399
View attachment 587400
View attachment 587401
View attachment 587402
Sasa twende kwenye upotoshaji wa SUA kuhusu huyu mdudu:-
Nchini Tanzania nyama ya nguruwe ni maarufu katika maeneo mbali mbali ya starehe na imepewa majina mengi kama vile mkuu wa meza, kiti moto na mengineyo mengi.
Hata hivyo utafiti wa kisayansi kutoka chuo kikuu cha kilimo cha sokoine( SUA) umebaini kuwa walaji wa nyama ya nguruwe wako katika hatari ya kupata magonjwa kama vile kifafa kutokana na mnyoo Tegu uliopo kwenye nyama ya nguruwe.
Mwandishi wa BBC Maximiliana Mtenga amezungumza na mtafiti wa magonjwa ya binadamu na wanyama Dkt. Boa Mathias Emanuel kutoka chuo kikuu cha SUA na kwanza amemuuliza ueneaji wa ugonjwa huu.
SUA wanafanya makusudi sana.