Habari mbaya kwa walaji wa Kitimoto: Huenda wengi wao wakaja kupata kifafa!

Habari mbaya kwa walaji wa Kitimoto: Huenda wengi wao wakaja kupata kifafa!

Karibu pilau lake
ac00160ff3b5cc8a8f703a837c719132.jpg
[emoji117]
c0f3a36f337637b961ea1af14a1240f6.jpg
[emoji39]
Siwezi kula
 
Mbuzi katolikiiii.....
Kwanini siku zote mti wenye matunda ndo unapigwa mawe?
 
  • Thanks
Reactions: Gut
Utafiti ndio umegundua hayo na ni wajibu wao Watafiti baada ya kugundua jambo kifuatacho ni kutoa taarifa na ndicho walichofanya. Sasa wewe kama unataka kuendelea kumchapa huyo swine basi kwa wakati wako usishawishi watu.
 
Hoja yako ni kusema nyama ya nguruwe inaongeza life expectancy?

Kwa hiyo sababu ya wachina kuishi miaka mingi ni kwasababu wanakula kitimoto?

Nikwambie tu life expectancy ina mambo lukuki sio nyama peke yake, mpaka uchumi wa nchi na hali halisi ya maisha vyote vinahusika.

Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.

Uwe na uchumi mzuri na kila kitu kukidhi haja yako ya kuishi ukila vyakula vyenye athari utakufa mapema tu [emoji15] [emoji4]
 
Uwe na uchumi mzuri na kila kitu kukidhi haja yako ya kuishi ukila vyakula vyenye athari utakufa mapema tu [emoji15] [emoji4]
Jenga hoja yako kupitia mada iliyoko mezani.
Mada kuu ni nyama ya nguruwe.

Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
 
Utafiti ndio umegundua hayo na ni wajibu wao Watafiti baada ya kugundua jambo kifuatacho ni kutoa taarifa na ndicho walichofanya. Sasa wewe kama unataka kuendelea kumchapa huyo swine basi kwa wakati wako usishawishi watu.
[emoji117]
30aea5a8681d4a405583bb6460e89c9f.jpg
[emoji118] [emoji117] faida kiafya na kiuchumi [emoji106]
 
Jenga hoja yako kupitia mada iliyoko mezani.
Mada kuu ni nyama ya nguruwe.

Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
b9a4ed994303691caa2b7f2d36ecbc8a.jpg
chaumbile Imulungu ni cha kumemena!; Kula kitu Roho inapoenda [emoji106]
 
Kwanza makinika nami vizuri kuhusu hizi picture hapa chini:-

View attachment 587398

View attachment 587399

View attachment 587400

View attachment 587401

View attachment 587402

Sasa twende kwenye upotoshaji wa SUA kuhusu huyu mdudu:-

Nchini Tanzania nyama ya nguruwe ni maarufu katika maeneo mbali mbali ya starehe na imepewa majina mengi kama vile mkuu wa meza, kiti moto na mengineyo mengi.

Hata hivyo utafiti wa kisayansi kutoka chuo kikuu cha kilimo cha sokoine( SUA) umebaini kuwa walaji wa nyama ya nguruwe wako katika hatari ya kupata magonjwa kama vile kifafa kutokana na mnyoo Tegu uliopo kwenye nyama ya nguruwe.

Mwandishi wa BBC Maximiliana Mtenga amezungumza na mtafiti wa magonjwa ya binadamu na wanyama Dkt. Boa Mathias Emanuel kutoka chuo kikuu cha SUA na kwanza amemuuliza ueneaji wa ugonjwa huu.

SUA wanafanya makusudi sana.
Kwani uongo? Ingieni darasani kwanza alafu mje mezani mkabishane, unadhani kwann watalaam wa mifugo wengi wao hawalagi mishikaki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom