Habari mbaya: Uwanja wa Uhuru Dar, Watu 45 wapoteza maisha kutoka na msongamano

Watanzania ignorance sijui kama utakuja kuisha aseee daaa haya poleni wafiwa .....
 
Polepole huko anakenua Kwa furaha malengo Yao yametimia ' Magufuli anapendwa bwana nyomi ya hatari Hadi watu zaidi ya 40 wamekufa'.
 
So sad watoto wasiokuwa na hatia wamepoteza maisha kutokana na ujinga wa wazazi wao.
 
Nimeshangazwa sana na wazazi walio ruhusu vitoto vyao kwenda kuaga. Mzazi unashindwaje kutathmini hali ya usalama wa mtoto katika msongamano?
 
UMASIKINI

UJINGA

MARADHI

maadui wa Tanzania ..kutafuta sifa katika vitu vya kipumbavu pumbavu, hadi maiti mnataka mumridhishe na sasa you will have to pay the price by BLOOD

Mshana Jr hii imekaaje katika ulimwengu wa roho kua wakati wa msiba/mazishi kuna damu tena isyokua na hatia zinamwagika au kumwagwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko kwenu labda.
Ningekuwa karibu na wewe ningekuchapa bakora! Hivi mtaacha lini hii tabia ya kusifu na kuabudu?


Mbona baadhi ya media zimereport hili unahisi mtu anaweza leta habari asiyo na uhakika nayo?
 
Huwenda hakikua cha halali.... Nahisi
 
Embu ona Dada mzuri kama huyu anaonekana msomi kabisa , unaenda kufa kizembe sababu ya lile dubwasha na wanao wawili ? Ni mapenzi gani hayo unamuacha na mumeo ? Nimesikitika sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada tuwekee vyeti vyao vya vifo tuamini taarifa zako kama vinasomeka wamekufa kwa msongamano.

Si vizuri kutangaza kifo cha mtu bila kuambatanisha death certificate

Kifo kilivyotangazwa death certificate iliambatanishwa ikiwa inasomeka kile kilichotangazwa kwamba ndio kilimuondoa?
Au unajitoa tu ufahamu...?
 
Sisi wasukuma mbona hivi Kanumba alisepa na watu Mh magufuli nae anaondoka na wasindikizaji dah ...watu wanatupenda sana kwa Mungu azilaze pema peponi kwa waliopoteza maisha kwa mapenzi Rais wetu [emoji120][emoji120]
Mapenzi ya kipumbavu, acha mawazo ya kisengeh hayo unayaita mapenzi? Serikal yako ndio imesababisha haya halafu wewe unaita mapenzi foolishness foolishly

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningekuwa karibu na wewe ningekuchapa bakora! Hivi mtaacha lini hii tabia ya kusifu na kuabudu?


Mbona baadhi ya media zimereport hili unahisi mtu anaweza leta habari asiyo na uhakika nayo?
Angalia huyu nae hovyo. Unarukia tu hata huelewi majibu yangu kwa huyo ni kuhusu nini. Kamchape bakora mjomba na shangazi zako.
 
Hao waliokuwa wanajidondosha ni wale wamama wamezoea kushinda makanisa ya kilokole, full kuzimia...kingine walikuwa wanatafuta camera
 
Sasa wewe tukio kama lile linawekwa jirani na Buza kwa mpalange unategemea nini? Nasikia wameenda hadi wanataka kuvamia ndege iliyobeba maiti waingie ndani wasepe nayo Dodoma. Watu wa Buza banah!
Ni binadamu kama wewe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…