c dunga
Member
- May 17, 2020
- 38
- 18
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama haijatoka hapo huna authority ya kutamka mtu kafa kwa ajili ya nini wewe sema tu kafa full stop .Wakikuuliza kafia nini sema death certificate bado haijatoka usijitie kujua ohhh kafa kwa sababu hii wakati hujapata death certificate!!!Kwaio death certificate inatoka hapo hapo ukishafariki ?
Mm nawaambia siyo umat ule ulimpenda jiwe wengne n umbea tu na kukosa kazi ambazo mwendazake alizibana Mungu hana utani kuonesha mwamba alikuwa mafia kaamua kuwachukua na wanafiki wanaompamba wakat ukienda kwao maisha yamewapiga Sasa wakaendelee kumsifia huko mbinguni mwenzao alisema ataongoza malaika wao wataongoza nnAlienda kushuhudia maiti ili akapige umbea kitaa
Watz wanapenda stori za umbea[emoji1]
Kweli hao ni physical deaths,bado walioambukizana gonjwa hili la hatari covid 19.kulikuwa hakuna haja ya kuupeleka mwili wa hayati magufuli tena uwanjani.kutoa salaam barabarani kungetosha.mambo mengine tunajitakia wenyewe.ujue hapa si bure pana ulaji.anyhow poleni wafiwa wote.Hao ni physical victims wa msongamano. Sijui viral victims wa msongamano itakuwaje maana barakoa hazikupewa nafasi yake?
Mungu aliponye hili taifa liondokane na usukule wa hii miaka 5 iliyopita na awarudishie waja wake fahamu zao wajitambue kuwa wao ni binadamu hai wanaoishi!
Mitano tena , Mia tena over forty dead body found ndugu usishindane na teknologia ?Mleta mada tuwekee vyeti vyao vya vifo tuamini taarifa zako kama vinasomeka wamekufa kwa msongamano.
Si vizuri kutangaza kifo cha mtu bila kuambatanisha death certificate
Mimi nadhani wangeruhusu video ya mwili wa marehemu ionekane ingepunguza shauku ya watu kutaka lazima wakashuhudie physically.Imefikia stage hiyo, kwanini hiyo shughuli ya kumuaga Magufuli isingepelekwa uwanja wa Mkapa? au hapakuwa na polisi wa kutosha kusimamia hilo zoezi? anyway now it's too late.
Wapumzike kwa amani wote waliofariki.
OMG!!Salaam Wakuu,
Kuna habari mbaya ya watu wengi kufariki wakati wakiaga mwili wa hayati Magufuli.
Inadaiwa baadhi ya watu wamepelekwa Hospitali ya Temeke wengine wakiwa wamepoteza maisha na wengine kuzimia.
Nmempigia Mganga Mkuu wa Hospitali ya Temeke kumuuliza juu ya vifo hivi, baada ya kujitambulisha tu, akanikatia simu. Hivyo nmeshindwa kujua Idadi kamili.
Hapa chini ni baadhi ya watu waliotajwa kupoteza maisha kenye msongamano Uwanja wa Uhuru Temeke Dar es Salaam
TANZIA!
TUNASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MWALIMU JANE NGONDE (MWALIMU MKUU WA S.M MGEULE) KILICHOTOKEA LEO MCHANA UWANJA WA BENJAMIN MKAPA ALIPOKUWA AKISHIRIKI KUTOA SALAMU ZA MWISHO. TARATIBU ZA MAZISHI ZINAFANYIKA NA TUTAENDELEA KUJULISHANA. AIDHA TUNAITAARIFU KAMATI YA MAAFA- UVEMI KUENDELEA NA TARATIBU ZETU. R. I.P
Nyingine:
TANZIA: Mboka Nsobi Minga amefiwa na mkewe Lidia Shomari Minga ambaye leo tarehe 21/3/2021 asubuhi akiwa mzima wa afya alikwenda uwanjani kuaga mwili wa Hayati John Joseph Pombe Makufuli. Kifo chake kimesababishwa na kukanyagwa na umati wa watu uwanjani hapo. Mwili wake umehifadhiwa hospitali ya Temeke. Msiba upo Kilwa road Barracks
View attachment 1731031
Lidia Shomari
Mashuhuda wengine wamesema;
"Nilikuwa temeke hosp ninamgonjwa mama yangu mdogo, ambulance zilizoleta maiti pale ni zaid ya watu 40 aisee, kuna mama mjamzito kafa na watoto wake 2"
"Yan nilikuwa natetemeka tu ambulance zinaleta watu watatu watatu wengine mahututi wengine wamekufa Yan kweli magufuli tulimpenda Sana"
"Jamani pale Taifa umetokea mkanyagano wakati wa kuaga mwili wa JPM, watu wengi wamepoteza maisha..including two of my relatives.
Im worried hata kule Dodoma the crowd is not well managed, tutapoteza wengi."
"Sijui tuna kwama wapi.Kuna jirani yangu hapa ndugu yake kafiwa na mke na watoto wawili.Watoto wa nini kwenye crowd kama ile?🤷🏾♂️🙆🏾♂️🙆🏾♂️"
"Nina Rafiki yangu kafiwa na Mke na watoto wake 2 huko uwanjani"
View attachment 1731219
Inaweza kuwa maana wavaa madera wengi huwa wauswahilini na wameshindikana kitabiaWatakuwa singo Maza hao.
Hivi baadhi ya watu wana akili kweli?
Unaenda kuaga mtu asiyeongea?unaenda kuaga mfu?kwanini mmekua wajinga namna hii?
,si tulishakubaliana kwamba mtu wa kuaga ni ndugu pekee?
Nyie vipi?wagonjwa nini?
Ona sasa mshakanyagiwa huko....mkanyagwe kabisa mpondeke ili mkome mmezidi sijui huu utahira mmeutoa wapi
Kama kuita malofa hakukosea
Magufuli kuwaita wanyonge hakukosea kweli kuna wanyonge malofa nchi hii
Kama ni kufa ashakufa tu kwanza sahiv yupo zake huko sijui ndo anaongoza hao malaika.....muache ujinga na upumbavu na mbadilike
Nimekereka sana....hii nchi wakati mwingine naona wazungu warudi tu kutupiga mijeledi kuna mijitu ipo km mikondoo tu
Inaweza kuwa maana wavaa madera wengi huwa wauswahilini na wameshindikana kitabia
Sina na wala sikuwa na undugu nae!msimsingizie maerehemu.Muacheni marehemu apumzike kwa amani.
kijana wakiume.Kimbelembele chao tu, magu wala hayupo huko
Mkuu hivi nyanda maana yake nini?
Nyinyi mnaosema mliitahadharisha serikali...Inamaana wao hawajui jinsi ya kudhibiti vito vya kukanyagana?
Ahaa sawasawakijana wakiume.
Usijidanganye kijana, wanakufa sana ila ndiyo hivyo hawana status ya kutangazwaHao unaowaona wamejazana hapo ndio wale unaowaona wamejazana kwenye daladala,pantoni,sokoni na hawafi mnakufa nyinyi matajiri mnaoshinda kwenye ac huku mmevaa barakoa