Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Hata mimi makuzi yangu sijawah kwenda msiban..msiban anaenda baba na mama fulstopWakati mm nakua ilikuwa si rahisi watoto kuaga maiti.
Nashangaa miaka hii hata watoto wa chini ya miaka 10 wanaenda Uhuru kuaga maiti.
Waliofikwa na mauti ilipaswa wajiulize thamani ya maisha yao,dunia nzima inajaribu kupunguza misongamano Tz ndio kwanza wanakimbilia misongamano.
Nyumbu hao acha wafeIla wazazi wanapaswa kulaumiwa sana kwa ishu kama hizi...jaman mtoto wa 10yrs unaendaje naye sehem za misiba au mnaendaje wote familia ya watu wa5 wote?mie nimeumia ila nisingeeda kuaga maana wanyonge wamejazana balaa..aku..polen familia
Kuguswa nini upumbavu tu.Jitu jizi,katili lina matusi eti uguswe ,uguswe nini.Povu ruksaYani kwa kweli kila mtu ameguswa ila unatakiwa kuangalia aisee, pale kuna kina mama walikua na wtt mgongoni maskini kwa jua lile wtt wanalia tuu wengine wanaangushwa dah so sad
Msiba juu ya misibaMsiba mkubwa
For sureMajibu ya hawa jamaa yananishangazaga sana.
Aisee "ma mwela" kama mpo huku habari mnayo.
By the way, pole kwa familia husika.
Aisee ni pigo zito lisilo mithilika.
Wala sipovukwi mkuu bado nasimamia hoja yangu kila mtu ameguswa kivyake.Kuguswa nini upumbavu tu.Jitu jizi,katili lina matusi eti uguswe ,uguswe nini.Povu ruksa
Maskini unakuta wengine afya mgogoroNiliona video watu wanesongamana balaa na anayechukua anasema. "Ona watu wanakufa". Vyombo vya ulinzi na usalama haviwezi kukwepa lawama kwenye hili suala.
Hadi sasa umeamini!?Mleta mada tuwekee vyeti vyao vya vifo tuamini taarifa zako kama vinasomeka wamekufa kwa msongamano.
Si vizuri kutangaza kifo cha mtu bila kuambatanisha death certificate.
HahahahahaahaaahKuguswa nini upumbavu tu.Jitu jizi,katili lina matusi eti uguswe ,uguswe nini.Povu ruksa
Hasa umasikini wa fikra.Umemaliza...dah...yote hayo ni umaskini...ptu..wameimalizA safari
Dah Mkuu kuwa na huruma kidogo,nafahamu hasira hizi sababu ni jiweNyumbu hao acha wafe
Ila jamani watanzania tuwe tunashirikisha vichwa vyetu, mimi jana nilikuwa nimashangaa kweye tv naona wakinamamana watoo wadogo kwenye jua kwenye msongamano wanasukumana eti kenda kushuhudia. Hayo siyo mapenzi bali ni ufala, we mtu una mtoto mdogo hujali unaenda kwenye msongamano akifa sijui utalia kwa uchungu. Kwani ukikaa nyumbani ukaomboleza unapungukiwa na nini.Nimeumia sana kwa vifo hivi kwa sababu ni vya familia moja. Mama na watoto wake wanne. Msichana wa kazi haonekani mpaka sasa
source: ITV taarifa ya habari usikuView attachment 1731931
Elimu....na ufukara pia jamani....vinahusika sanaIla jamani watanzania tuwe tunashirikisha vichwa vyetu, mimi jana nilikuwa nimashangaa kweye tv naona wakinamamana watoo wadogo kwenye jua kwenye msongamano wanasukumana eti kenda kushuhudia. Hayo siyo mapenzi bali ni ufala, we mtu una mtoto mdogo hujali unaenda kwenye msongamano akifa sijui utalia kwa uchungu. Kwani ukikaa nyumbani ukaomboleza unapungukiwa na nini.
Pole kwa familia hiyo lakini jamani tuache ujuja
Kwakweli umasikini wa akili. Eti mwningne tena anaonekana kama anajielewa anadai mwanae kagoma kubaki nyumbani naye anataka aje kushuhudia basi naye kamleta.Elimu....na ufukara pia jamani....vinahusika sana