Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Hata mimi makuzi yangu sijawah kwenda msiban..msiban anaenda baba na mama fulstopWakati mm nakua ilikuwa si rahisi watoto kuaga maiti.
Nashangaa miaka hii hata watoto wa chini ya miaka 10 wanaenda Uhuru kuaga maiti.
Waliofikwa na mauti ilipaswa wajiulize thamani ya maisha yao,dunia nzima inajaribu kupunguza misongamano Tz ndio kwanza wanakimbilia misongamano.