Habari mbaya: Uwanja wa Uhuru Dar, Watu 45 wapoteza maisha kutoka na msongamano

Habari mbaya: Uwanja wa Uhuru Dar, Watu 45 wapoteza maisha kutoka na msongamano

Wakati mm nakua ilikuwa si rahisi watoto kuaga maiti.
Nashangaa miaka hii hata watoto wa chini ya miaka 10 wanaenda Uhuru kuaga maiti.
Waliofikwa na mauti ilipaswa wajiulize thamani ya maisha yao,dunia nzima inajaribu kupunguza misongamano Tz ndio kwanza wanakimbilia misongamano.
Hata mimi makuzi yangu sijawah kwenda msiban..msiban anaenda baba na mama fulstop
 
Niliona video watu wanesongamana balaa na anayechukua anasema. "Ona watu wanakufa". Vyombo vya ulinzi na usalama haviwezi kukwepa lawama kwenye hili suala.
 
Mleta mada tuwekee vyeti vyao vya vifo tuamini taarifa zako kama vinasomeka wamekufa kwa msongamano.

Si vizuri kutangaza kifo cha mtu bila kuambatanisha death certificate.
Hadi sasa umeamini!?

Hii ndio fimilia yenyewe,hawa wote wameenda kasoro huyo mmoja wa nyuma mwenye rasta.
FB_IMG_16164048381878310.jpg
 
Nimeumia sana kwa vifo hivi kwa sababu ni vya familia moja. Mama na watoto wake wanne. Msichana wa kazi haonekani mpaka sasa

source: ITV taarifa ya habari usikuView attachment 1731931
Ila jamani watanzania tuwe tunashirikisha vichwa vyetu, mimi jana nilikuwa nimashangaa kweye tv naona wakinamamana watoo wadogo kwenye jua kwenye msongamano wanasukumana eti kenda kushuhudia. Hayo siyo mapenzi bali ni ufala, we mtu una mtoto mdogo hujali unaenda kwenye msongamano akifa sijui utalia kwa uchungu. Kwani ukikaa nyumbani ukaomboleza unapungukiwa na nini.
Pole kwa familia hiyo lakini jamani tuache ujuja
 
Elimu....na ufukara pia jamani....vinahusika sana
 
Elimu....na ufukara pia jamani....vinahusika sana
Kwakweli umasikini wa akili. Eti mwningne tena anaonekana kama anajielewa anadai mwanae kagoma kubaki nyumbani naye anataka aje kushuhudia basi naye kamleta.
Mimi nikiwa na mke nikakuta kafanya ujnga kama huo nampa taraka mbili kwanza akajifunze.
 
Msiba umezua misiba,.. kwanza kwa nyomi ile na migusano ile venye watu hawakuwa na tahadhari yoyote no barakoa no sanitizer asee,siombei ila nahisi tutakuwa na misiba mingi tuu...😔
 
Tusilaumu sana unajua kama siku yako imefika...imefika tu jamani hao hata km isingekua kwenda huko hata wangeakiwa na nyumba....ndo maana tunahimizwa tufanye mema hatujui saa wala mda Mungu anachukua uhai wake
 
Back
Top Bottom