Habari mbaya: Uwanja wa Uhuru Dar, Watu 45 wapoteza maisha kutoka na msongamano

Habari mbaya: Uwanja wa Uhuru Dar, Watu 45 wapoteza maisha kutoka na msongamano

Unaenda uwanjani kuaga "maiti" na wewe unarudishwa nyumbani ukiwa "maiti".
So sad!!
 
Tayari mbona.

Umeona alichoandika Kiranga?
Watu wanamlaumu Hitler mpaka leo.

Vitabu vipya vinaandikwa, analaumiwa kwa mambo aliyoyafanya katika maisha yake.

Unataka kusema wanakosea kwa kumlaumu Hitler leo kwa mambo aliyoyafanya katika maisha yake?

Kuna lawama zinafundisha watu wa leo kuepuka mabaya yaliyotendwa na watu waliokwishafariki. Kwamba ukitenda vibaya hivi, utalaumiwa miaka na miaka baada ya kifo chako.

Ili watu wanaoishi leo wajifunze kwa waliofariki. Wasirudie mabaya waliyotenda kina Hitler.

Bado unaona hizo lawama hazina mantiki? Hazistahili?
 
Huu ni ushamba, ushenzi na upuuzi uliopitiliza!

Unaanzaje kwenda na familia nzima (hasa watoto) kwenye kusanyiko la watu wengi kama hili?

Msitake kumpa Mungu kazi nyingine na kumsingizia shetani kwenye mambo yasiyo muhusu.

Pumzika salama Mzee Magufuli.
Nakazia

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Kuna binadamu kweli hawana akili.!! Yaani unapoteza maisha kwasababu unamuaga mtu aliyekufa tena magufuli??!!
 
Watu wanamlaumu Hitler mpaka leo.

Vitabu vipya vinaandikwa, analaumiwa kwa mambo aliyoyafanya katika maisha yake.

Unataka kusema wanakosea kwa kumlaumu Hitler leo kwa mambo aliyoyafanya katika maisha yake?

Kuna lawama zinafundisha watu wa leo kuepuka mabaya yaliyotendwa na watu waliokwishafariki. Kwamba ukitenda vibaya hivi, utalaumiwa miaka na miaka baada ya kifo chako.

Ili watu wanaoishi leo wajifunze kwa waliofariki. Wasirudie mabaya waliyotenda kina Hitler.

Bado unaona hizo lawama hazina mantiki? Hazistahili?
Unamlinganisha Magufuli na Hitler?
 
Naeleza kwamba lawama haiishi mtu anapokufa.

Ingekuwa inaisha mtu anapokufa, vitabu vipya visingeendelea kuwalaumu Hitler na Stalin.
Ok, sawa.

Hata pongezi nazo huwa haziishi.

Viva Magufuli 😁
 
Lawama gani? Za majanga ya kujitakia uliyojisababishia mwenyewe au nini?
Kuongoza nchi vibaya, kupinga sayansi, kupinga chanjo, kupinga barakoa, kuingilia biashara ya korosho mpaka kuiharibu. Kuingilia manunuzi ya ndege bila kufuata bajeti wala tenda, kuuondolea heshima urais wa Tanzania kwa maneno ya kunya yasiyofaa kwa hadhi ya rais, kuhalalisha rushwa kwa kusema trafiki kupewa hela ya rushwa ni hela ya kubrashi viatu tu, kuwaambia trafiki wakikuta gari la mtu liko lane ya mwendokasi walipeleke polisi kisha wang'oe matairi na wakiulizwa matairi yako wapi wakatae kwamba wameyang'oa.

Na upumbavu mwingi sana unaofanana na huo.
 
Sasa hayo yanahusiana nini na watu kusongamana na kukanyagana kwenye msiba wake?
 
Sasa hayo yanahusiana nini na watu kusongamana na kukanyagana kwenye msiba wake?
Watu wamefariki kwa kukanyagan, serikali haijatangaza, utamaduni huu wa usiri unaendeleza usiri wa serikali ya Magufuli ambayo haikutangaza idadi ya watu walioambukizwa wala kufa kwa Covid-19 kwa muda mrefu sana.

Watu wamejazana kijinga bila kuvaa barakoa wala kufuata social distancing, ni muendelezo wa ujinga wa Magufuli kukataa barakoa na social distancing.

Magufuli angesimamia kuiongoza nchi kuelimisha watu kuhusu umuhimu wa barakoa na social distancing, watu wengi sana wasingejazana hivyo na hata kufa kwa kukanyagana, achilia mbali kueneza maambukizi ya Covid-19.
 
Aisee!!!!!
 
Kama haijatoka hapo huna authority ya kutamka mtu kafa kwa ajili ya nini wewe sema tu kafa full stop .Wakikuuliza kafia nini sema death certificate bado haijatoka usijitie kujua ohhh kafa kwa sababu hii wakati hujapata death certificate!!!
We jamaaa aidha huna akili kabisa au unapenda kujitoa akili, yani unaona mtu kafa kwenye mlipuko unataka daktari aandike kwenye cheti ndo tuseme watu fulani wamekufa kwenye mlipuko?

ishu ya kukanyagana sio medical issue hio ni pure physical yeyote aliye shuhudia anaweza sema with absolute certainity (kama hizo taarifa ni za kweli)

mambo ambayo tunasubiri daktari atueleze ni medical issues sio matukio yaani unasubiri cheti kikwambie fulani amekanyagwa na umati mpaka kufa aisee we kiboko.
hospitali tunaitaji confirmation ya kifo tu kwenye issue kama hio tukio lililosababisha sio kazi ya daktari kukuambia ni ya mashuhuda.

wanaotaja idadi nao ni waongo takwimu za waliofariki wote mmezipata wapi? kama una ndugu ,jamaa na marafiki ambao unawajua ni sawa ila kutuwekea idadi ati sijui 45 ama 60 huu ni uzushi na uoteaji wa mambo
 
Mleta mada tuwekee vyeti vyao vya vifo tuamini taarifa zako kama vinasomeka wamekufa kwa msongamano.

Si vizuri kutangaza kifo cha mtu bila kuambatanisha death certificate.
Mataga muachage ujinga saa zingine
 
Duh!

Viongozi wetu wa usalama wanakosea sana. Hadi kwenye misiba wanataka kutuaminisha kuwa wingi wa watu ndio upendo!

Anyway, naiombea familia ya Hayati Dr. JPM pamoja na Watanzania wenzangu faraja. Tusisahau kuwa kila aliyeumbwa na Mungu na kuwepo duniani anaumuhimu wake. Tuzidi kuombeana kila iitwapo leo.

Ndio wingi wa watu ndo upendo Mkuu,siku ukilazwa alafu unaona wanaopishana kukuona ni Manesi tu familia yako jua hakuna upendo upande wako!!!
 
Back
Top Bottom