Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
Unaenda uwanjani kuaga "maiti" na wewe unarudishwa nyumbani ukiwa "maiti".
So sad!!
So sad!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanamlaumu Hitler mpaka leo.
Hujajibu hoja.There you go!
Lawama ishapatikana.
NakaziaHuu ni ushamba, ushenzi na upuuzi uliopitiliza!
Unaanzaje kwenda na familia nzima (hasa watoto) kwenye kusanyiko la watu wengi kama hili?
Msitake kumpa Mungu kazi nyingine na kumsingizia shetani kwenye mambo yasiyo muhusu.
Pumzika salama Mzee Magufuli.
Hoja gani?Hujajibu hoja.
Unamlinganisha Magufuli na Hitler?Watu wanamlaumu Hitler mpaka leo.
Vitabu vipya vinaandikwa, analaumiwa kwa mambo aliyoyafanya katika maisha yake.
Unataka kusema wanakosea kwa kumlaumu Hitler leo kwa mambo aliyoyafanya katika maisha yake?
Kuna lawama zinafundisha watu wa leo kuepuka mabaya yaliyotendwa na watu waliokwishafariki. Kwamba ukitenda vibaya hivi, utalaumiwa miaka na miaka baada ya kifo chako.
Ili watu wanaoishi leo wajifunze kwa waliofariki. Wasirudie mabaya waliyotenda kina Hitler.
Bado unaona hizo lawama hazina mantiki? Hazistahili?
Kifo cha mtu hakimalizi lawama.Hoja gani?
Naeleza kwamba lawama haiishi mtu anapokufa.Unamlinganisha Magufuli na Hitler?
Lawama gani? Za majanga ya kujitakia uliyojisababishia mwenyewe au nini?Kifo cha mtu hakimalizi lawama.
Ok, sawa.Naeleza kwamba lawama haiishi mtu anapokufa.
Ingekuwa inaisha mtu anapokufa, vitabu vipya visingeendelea kuwalaumu Hitler na Stalin.
Kuongoza nchi vibaya, kupinga sayansi, kupinga chanjo, kupinga barakoa, kuingilia biashara ya korosho mpaka kuiharibu. Kuingilia manunuzi ya ndege bila kufuata bajeti wala tenda, kuuondolea heshima urais wa Tanzania kwa maneno ya kunya yasiyofaa kwa hadhi ya rais, kuhalalisha rushwa kwa kusema trafiki kupewa hela ya rushwa ni hela ya kubrashi viatu tu, kuwaambia trafiki wakikuta gari la mtu liko lane ya mwendokasi walipeleke polisi kisha wang'oe matairi na wakiulizwa matairi yako wapi wakatae kwamba wameyang'oa.Lawama gani? Za majanga ya kujitakia uliyojisababishia mwenyewe au nini?
Ni haki yako ya kikatiba kushangilia chochote utakachoamua kushangilia.Ok, sawa.
Hata pongezi nazo huwa haziishi.
Viva Magufuli 😁
Sasa hayo yanahusiana nini na watu kusongamana na kukanyagana kwenye msiba wake?Kuongoza nchi vibaya, kupinga sayansi, kupinga chanjo, kupinga barakoa, kuingilia biashara ya korosho mpaka kuiharibu. Kuingilia manunuzi ya ndege bila kufuata bajeti wala tenda, kuuondolea heshima urais wa Tanzania kwa maneno ya kunya yasiyofaa kwa hadhi ya rais, kuhalalisha rushwa kwa kusema trafiki kupewa hela ya rushwa ni hela ya kubrashi viatu tu, kuwaambia trafiki wakikuta gari la mtu liko lane ya mwendokasi walipeleke polisi kisha wang'oe matairi na wakiulizwa matairi yako wapi wakatae kwamba wameyang'oa.
Na upumbavu mwingi sana unaofanana na huo.
Watu wamefariki kwa kukanyagan, serikali haijatangaza, utamaduni huu wa usiri unaendeleza usiri wa serikali ya Magufuli ambayo haikutangaza idadi ya watu walioambukizwa wala kufa kwa Covid-19 kwa muda mrefu sana.Sasa hayo yanahusiana nini na watu kusongamana na kukanyagana kwenye msiba wake?
Aisee!!!!!Watu wamefariki kwa kukanyagan, serikali haijatangaza, utamaduni huu wa usiri unaendeleza usiri wa serikali ya Magufuli ambayo haikutangaza idadi ya watu walioambukizwa wala kufa kwa Covid-19 kwa muda mrefu sana.
Watu wamejazana kijinga bila kuvaa barakoa wala kufuata social distancing, ni muendelezo wa ujinga wa Magufuli kukataa barakoa na social distancing.
Magufuli angesimamia kuiongoza nchi kuelimisha watu kuhusu umuhimu wa barakoa na social distancing, watu wengi sana wasingejazana hivyo na hata kufa kwa kukanyagana, achilia mbali kueneza maambukizi ya Covid-19.
We jamaaa aidha huna akili kabisa au unapenda kujitoa akili, yani unaona mtu kafa kwenye mlipuko unataka daktari aandike kwenye cheti ndo tuseme watu fulani wamekufa kwenye mlipuko?Kama haijatoka hapo huna authority ya kutamka mtu kafa kwa ajili ya nini wewe sema tu kafa full stop .Wakikuuliza kafia nini sema death certificate bado haijatoka usijitie kujua ohhh kafa kwa sababu hii wakati hujapata death certificate!!!
Mataga muachage ujinga saa zingineMleta mada tuwekee vyeti vyao vya vifo tuamini taarifa zako kama vinasomeka wamekufa kwa msongamano.
Si vizuri kutangaza kifo cha mtu bila kuambatanisha death certificate.
Duh!
Viongozi wetu wa usalama wanakosea sana. Hadi kwenye misiba wanataka kutuaminisha kuwa wingi wa watu ndio upendo!
Anyway, naiombea familia ya Hayati Dr. JPM pamoja na Watanzania wenzangu faraja. Tusisahau kuwa kila aliyeumbwa na Mungu na kuwepo duniani anaumuhimu wake. Tuzidi kuombeana kila iitwapo leo.