Habari mbaya: Uwanja wa Uhuru Dar, Watu 45 wapoteza maisha kutoka na msongamano

Kwa hapa nawashauri wababa au wamama wenye familia kujenga mazoea ya kutoka out mara kwa mara badala ya kusubiria matukio makubwa uwanjani ili kuitoa familia out.

Sasa pale wengine walidhani wanaenda picnic,mtu anabeba mpaka mwanae wa miezi kadhaa kwenye msongamano ule jaman
Ila wazazi wanapaswa kulaumiwa sana kwa ishu kama hizi...jaman mtoto wa 10yrs unaendaje naye sehem za misiba au mnaendaje wote familia ya watu wa5 wote?mie nimeumia ila nisingeeda kuaga maana wanyonge wamejazana balaa..aku..polen familia
 
Baba usipokuwa dikteta.. wanawake wanaleta balaa..

Tazama mama kabeba watoto wake wote wadogo wadogo wakamuage magufuli .. mtoto anaenda msibani kufanya nini?
Inasikitisha sana sana
 
Kwa hapa nawashauri wababa au wamama wenye familia kujenga mazoea ya kutoka out mara kwa mara badala ya kusubiria matukio makubwa uwanjani ili kuitoa familia out.

Sasa pale wengine walidhani wanaenda picnic,mtu anabeba mpaka mwanae wa miezi kadhaa kwenye msongamano ule jaman
Kwa hyo kwa wengine ilikua out au sio
 
Kwa hapa nawashauri wababa au wamama wenye familia kujenga mazoea ya kutoka out mara kwa mara badala ya kusubiria matukio makubwa uwanjani ili kuitoa familia out.

Sasa pale wengine walidhani wanaenda picnic,mtu anabebliza mpaka mwanae wa miezi kadhaa kwenye msongamano ule jaman

Umemaliza...dah...yote hayo ni umaskini...ptu..wameimalizA safari
 
Ila wazazi wanapaswa kulaumiwa sana kwa ishu kama hizi...jaman mtoto wa 10yrs unaendaje naye sehem za misiba au mnaendaje wote familia ya watu wa5 wote?mie nimeumia ila nisingeeda kuaga maana wanyonge wamejazana balaa..aku..polen familia
Akina mama ndio wana hiyo tabia ya kubeba watoto na kuandamana nao kwenye matukio
 
Wakati mm nakua ilikuwa si rahisi watoto kuaga maiti.
Nashangaa miaka hii hata watoto wa chini ya miaka 10 wanaenda Uhuru kuaga maiti.
Waliofikwa na mauti ilipaswa wajiulize thamani ya maisha yao,dunia nzima inajaribu kupunguza misongamano Tz ndio kwanza wanakimbilia misongamano.
 
Ukienda polisi utajibiwa simpo tu.

"Huyo ni mtu mzima, atakua ameenda kulala kwa wanaume"
Majibu ya hawa jamaa yananishangazaga sana.

Aisee "ma mwela" kama mpo huku habari mnayo.

By the way, pole kwa familia husika.
Aisee ni pigo zito lisilo mithilika.
 
Back
Top Bottom