Habari members wenzangu, mimi mgeni hapa

kama unadanganya uma wa jf tutakuondoa mara moja. wewe umerudi kujiunga jf au ndo unanza? mbona unazidi hata wenneji wako?

jibu maswili yafuatayo?
1. eleza elimu yako?
2. kwa nini unajiunga na jf?
3. je ukibanwa na kamanda Zero unaweza kumtaja yeyote unayemfaham humu jf?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Akijibu kwa ufasaha najua mgeni ila akijibu kikuda najua mwenyeji na nimeweka mtego ngoja aje
 
1. Nimeishia form two
2. 7bu huku unapata vingi sana vya kujifunza
3.siwez taja mtu kwani sijaja kupeleleza mtu huku
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Akijibu kwa ufasaha najua mgeni ila akijibu kikuda najua mwenyeji na nimeweka mtego ngoja aje
Nishamjibu mkuu
 
Back
Top Bottom