Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Kwani ugeni ni shida mkuu.. aliyenifungulia kanielekeza kila kitu
Noo mimi ndio mara yangu ya kwanza, yaani kuweka picha nashindwa kabisa
Sasa nani kakufundisha kujiunga?
Katika fungua fungua Post ndio nikapata moja ikani direct mpaka jf. Nikafuata step zote hatimae nikakuta nimeweza