Habari members wenzangu, mimi mgeni hapa

Habari members wenzangu, mimi mgeni hapa

Humu watu hufahamika kwa uandishi na michango yao.
Pia mgeni wa jf hawezi kuwa na spidi ya uchangiaji kama ufanyavyo.
Kwa hakika wewe sio mgeni bali umeanzisha id mpya.
Ndio maana kila uchangiapo members wanapata mashaka na wewe.
Kawaida yangu mm hua ni mchangamfu siku zote, hata kwenye magroup ya Wasap na Facebook hua wananfaham. Sijari kama ni mgeni au mm nachangia tu na kua peace na wana
 
Karibu

Unachoandika usitetemeke kubadili sababu wengime wanakusakama hawapendi, jisimamie.

Ila hapana maneno machafu, watakuripoti utakula ban.
Mgeni anajua kutag....[emoji45] [emoji45]
Mgeni anajua hadi Mkuu....[emoji15] [emoji15]
Mgeni anajua hadi ban...[emoji69] [emoji69]

Hatari sana aiseeeee
 
Back
Top Bottom