isangaconfidential
Member
- Mar 9, 2017
- 43
- 13
Habari zenu wapendwa, mimi ni mgeni humu Jf na ni furaha kubwa kujiunga humu na nyie waungwana nina imani tutashirikiana, shauriana, wasiliana na kuelemishana kwa pamoja waungwana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaha yap nashukuru kw ukarim wko ukhuty nmekulaUmekula ulipotoka
ahsanteKaribu sana mgeni
nashukuru tunagekaribuuu
daby shukran sanaKaribu
ah sawa mkuu shukranKaribu mgeni pita moja kwa moja mpaka PM
nakubali zingzingzingkaribu sana,hapa jf kila mtu ni mkuu,, karbu pia mkuu
daby shukran sana
Inna hta maji ya kunywa hkunipatia umeuliz kuhus zawadUmekuja na zawadi gani mgeni
sawa ni usiku lkn muda wa kulala mm bdoUlale sasa usiku umeingia