Habari nahitaji gari ndogo ya kufanya kazi ya kuleta hesabu nipo DSM

Habari nahitaji gari ndogo ya kufanya kazi ya kuleta hesabu nipo DSM

Iddizahoro

Member
Joined
Aug 27, 2022
Posts
6
Reaction score
18
Waungwana habari za majukumu.

Naitwa xx natokea maeneo ya mikwambe kibada kigamboni mkoa wa Da es Salaam.

Naleta kwenu maombi kwa yeyote mwenye gari ndogo aina ya IST,SIENTA,n.k naitaji kwa ajili ya kufanyia kazi hapa mjini

Hesabu nalipa laki mbili kwa wiki matengenezo madogo madogo kwangu nimategemeo yangu atakuja mtu seriuos ili tuweze kufanya kazi.

0766628723
 
Back
Top Bottom