Habari Naitaji mchumba awe ana miaka 19 -26 anaishi Dar Asiwe na mtoto wala alie wai kuolewa mengine tuta ongea privet emeli yangu zuherially8@gmail

Habari Naitaji mchumba awe ana miaka 19 -26 anaishi Dar Asiwe na mtoto wala alie wai kuolewa mengine tuta ongea privet emeli yangu zuherially8@gmail

Joined
Dec 23, 2019
Posts
23
Reaction score
10
Habari wakubwa zangu na wadogo zangu..Naitaji Mchumba awe na umri wa miaka 19-26,awe anaishi Dar-es-Salaam..awe ana mtoto wala ajawai kuolewa Mengine yote tutaongea private imel yangu Zuherially8@gmailcom...ASANTENI
 
Ni bora kusema natafuta wakupeana nae uloda.
Swala la ndoa bahati na sibu.
Awe Mwanza au karbu na Mwanza
PM me.
 
Habari wakubwa zangu na wadogo zangu..Naitaji Mchumba awe na umri wa miaka 19-26,awe anaishi Dar-es-Salaam..awe ana mtoto wala ajawai kuolewa Mengine yote tutaongea private imel yangu Zuherially8@gmailcom...ASANTENI
Unakataa wenye watoto. Unataka wenye watoto waolewe na nani ?
 
Nasikia wanapatikana kijijini Sigimbi ila waliwahi kumtenda Prof. Jay sasa sijui kama wewe utawaweza!
 
Habari wakubwa zangu na wadogo zangu..Naitaji Mchumba awe na umri wa miaka 19-26,awe anaishi Dar-es-Salaam..awe ana mtoto wala ajawai kuolewa Mengine yote tutaongea private imel yangu Zuherially8@gmailcom...ASANTENI
ana mtoto =hana mtoto
Wala ajawai=wala hajawahi
Emeli=email
.
.n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakubwa zangu na wadogo zangu..Naitaji Mchumba awe na umri wa miaka 19-26,awe anaishi Dar-es-Salaam..awe ana mtoto wala ajawai kuolewa Mengine yote tutaongea private imel yangu Zuherially8@gmailcom...ASANTENI
Wapo Wengi wenye vigezo hivyo ila hautapata, kwanza haujui kuandika, 2. Haujui kutongoza 3. Hauna hela ndio maana haujataja wewe una nini, mwanamke huyo akufuate wewe una nini?Taja wewe una nini wajue
 
Kwa unachokifanya ni sawa na simba kijana mwenye miguvu, misuli, mwili imara na mkubwa, mwenye uwezo wa kuangusha hata nyati pekee yake..... Ila akaamua kupapasa macho akitafuta mizoga ili ale..... Huo ni uzembe.

Mwanaume ambae anajua yeye ni mwanaume na amekamilika anavaa uanaume na kuingia duniani kusaka mwanamke wa ndoto zake na kumshika mkono na kurejea nae nyumbani kwake tayari kuanza nae safari ya maisha kwa pamoja.

Najua umekata tamaa. Hauna tofauti na wale wanaokwenda makanisani kuvizia wadada waliofeli mahusiano ili wajipatie utelezi. Mwanamke wa thamani hupatikana kwa kutoa jasho sababu sio windo rahisi kukamata, ama sivyo ungeshakuta wenzako wamemuwahi.

Ukiona mwanamke ni mgumu au anaonekana haiwezekani kuwa nae basi huyo ndie wakuwa nae sababu atakupa penzi la thamani ya ujasiri wako.

Usikate tamaa kijana. Watoto wakike wapo wengi sana...... Usitake utelezi kwa kuwapata kwa staili hii utaambulia magalasa tu hapo.

Toka nje, out nenda maeneo wanayokuwapo, nenda kamtafute mkeo huko....usiogope.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom