Habari Naitaji mchumba awe ana miaka 19 -26 anaishi Dar Asiwe na mtoto wala alie wai kuolewa mengine tuta ongea privet emeli yangu zuherially8@gmail

Habari Naitaji mchumba awe ana miaka 19 -26 anaishi Dar Asiwe na mtoto wala alie wai kuolewa mengine tuta ongea privet emeli yangu zuherially8@gmail

Habari wakubwa zangu na wadogo zangu..Naitaji Mchumba awe na umri wa miaka 19-26,awe anaishi Dar-es-Salaam..awe ana mtoto wala ajawai kuolewa Mengine yote tutaongea private imel yangu Zuherially8@gmailcom...ASANTENI
uko kwenu uko ulimwengu gani ambako hamna wanawake mpaka uje JF
 
Kwa unachokifanya ni sawa na simba kijana mwenye miguvu, misuli, mwili imara na mkubwa, mwenye uwezo wa kuangusha hata nyati pekee yake..... Ila akaamua kupapasa macho akitafuta mizoga ili ale..... Huo ni uzembe.

Mwanaume ambae anajua yeye ni mwanaume na amekamilika anavaa uanaume na kuingia duniani kusaka mwanamke wa ndoto zake na kumshika mkono na kurejea nae nyumbani kwake tayari kuanza nae safari ya maisha kwa pamoja.

Najua umekata tamaa. Hauna tofauti na wale wanaokwenda makanisani kuvizia wadada waliofeli mahusiano ili wajipatie utelezi. Mwanamke wa thamani hupatikana kwa kutoa jasho sababu sio windo rahisi kukamata, ama sivyo ungeshakuta wenzako wamemuwahi.

Ukiona mwanamke ni mgumu au anaonekana haiwezekani kuwa nae basi huyo ndie wakuwa nae sababu atakupa penzi la thamani ya ujasiri wako.

Usikate tamaa kijana. Watoto wakike wapo wengi sana...... Usitake utelezi kwa kuwapata kwa staili hii utaambulia magalasa tu hapo.

Toka nje, out nenda maeneo wanayokuwapo, nenda kamtafute mkeo huko....usiogope.

Sent using Jamii Forums mobile app
NAKAZIA
 
Mzee nimeandika mstari mmoja umejibu mistari 4,,sawa Mwenye miakili mingi kongole kwako.
Ujakosea kwasabb ya uwezo wa uwelewa wako ila jua tu kua Ata ukimwi aupimwi Kwa macho na tuna fanana jinsia ila Tabia na matendo tupo tofaut na ndiyo mana kila 1 ata hukumiwa kulingana na matendo yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye mwenyewe ameona hapa Ni mahali sahii . Kila sehemu ambapo Kuna kutana watu Ni lazima wapenzi pamoja na wake wapatikane. Kwahiyo kuwa serious sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Bc usimlaumu huwenda akujua yupo ktk group La MAHUSIANO kwa sababu gan au pia huwenda ana watoto wa kike weng nyumban alafu awaolewi anaishia kupokea mimba tu ndy asira zake
 
Back
Top Bottom