Wewe ndiye Zesh ?Mimi 26 njinji iyo 36 ata sija fikia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndiye Zesh ?Mimi 26 njinji iyo 36 ata sija fikia
uko kwenu uko ulimwengu gani ambako hamna wanawake mpaka uje JFHabari wakubwa zangu na wadogo zangu..Naitaji Mchumba awe na umri wa miaka 19-26,awe anaishi Dar-es-Salaam..awe ana mtoto wala ajawai kuolewa Mengine yote tutaongea private imel yangu Zuherially8@gmailcom...ASANTENI
GOODWILLuko kwenu uko ulimwengu gani ambako hamna wanawake mpaka uje JF
NAKAZIAKwa unachokifanya ni sawa na simba kijana mwenye miguvu, misuli, mwili imara na mkubwa, mwenye uwezo wa kuangusha hata nyati pekee yake..... Ila akaamua kupapasa macho akitafuta mizoga ili ale..... Huo ni uzembe.
Mwanaume ambae anajua yeye ni mwanaume na amekamilika anavaa uanaume na kuingia duniani kusaka mwanamke wa ndoto zake na kumshika mkono na kurejea nae nyumbani kwake tayari kuanza nae safari ya maisha kwa pamoja.
Najua umekata tamaa. Hauna tofauti na wale wanaokwenda makanisani kuvizia wadada waliofeli mahusiano ili wajipatie utelezi. Mwanamke wa thamani hupatikana kwa kutoa jasho sababu sio windo rahisi kukamata, ama sivyo ungeshakuta wenzako wamemuwahi.
Ukiona mwanamke ni mgumu au anaonekana haiwezekani kuwa nae basi huyo ndie wakuwa nae sababu atakupa penzi la thamani ya ujasiri wako.
Usikate tamaa kijana. Watoto wakike wapo wengi sana...... Usitake utelezi kwa kuwapata kwa staili hii utaambulia magalasa tu hapo.
Toka nje, out nenda maeneo wanayokuwapo, nenda kamtafute mkeo huko....usiogope.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kabisa Mkuu kitu kinachoitwa stress za mapenzi, hasa kichwa cha chini kinapohitaji kupata charge, unaweza jikuta unafanya vitu vya ajabu,Yaani hadi kafungua ID mpya siku ya jana kwa ajili ya kutafuta mchumba!
Ujakosea kwasabb ya uwezo wa uwelewa wako ila jua tu kua Ata ukimwi aupimwi Kwa macho na tuna fanana jinsia ila Tabia na matendo tupo tofaut na ndiyo mana kila 1 ata hukumiwa kulingana na matendo yake
Je Mara ya pili umetumia mistar minagip na Mimi nimetumia mingapMzee nimeandika mstari mmoja umejibu mistari 4,,sawa Mwenye miakili mingi kongole kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukisikia kukua kwa teke linalokujia ndiyo huku acha tuitimie technologiaYan mchumba anatafutwa jamiiforums huko unako Ishai mko wanaume watupu hamna mademu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mimi 36 ulinifikisha wewe?Vigezo mwenzangu huna maana kasema 19-26 nawe upo 36+
Huwenda ana ishi ktk technology ila yupo ktk digital soo usimshangae akili yake imeishia kutafutiwa na wazazi wake na kutafuta siku ya Sheree BCMkuu ukisikia kukua kwa teke linalokujia ndiyo huku acha tuitimie technologia
Sent using Jamii Forums mobile app
Bc usimlaumu huwenda akujua yupo ktk group La MAHUSIANO kwa sababu gan au pia huwenda ana watoto wa kike weng nyumban alafu awaolewi anaishia kupokea mimba tu ndy asira zakeYeye mwenyewe ameona hapa Ni mahali sahii . Kila sehemu ambapo Kuna kutana watu Ni lazima wapenzi pamoja na wake wapatikane. Kwahiyo kuwa serious sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
0718220593Sent