Habari Naitaji mchumba awe ana miaka 19 -26 anaishi Dar Asiwe na mtoto wala alie wai kuolewa mengine tuta ongea privet emeli yangu zuherially8@gmail

Yan mchumba anatafutwa jamiiforums huko unako Ishai mko wanaume watupu hamna mademu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa unachokifanya ni sawa na simba kijana mwenye miguvu, misuli, mwili imara na mkubwa, mwenye uwezo wa kuangusha hata nyati pekee yake..... Ila akaamua kupapasa macho akitafuta mizoga ili ale..... Huo ni uzembe.

Mwanaume ambae anajua yeye ni mwanaume na amekamilika anavaa uanaume na kuingia duniani kusaka mwanamke wa ndoto zake na kumshika mkono na kurejea nae nyumbani kwake tayari kuanza nae safari ya maisha kwa pamoja.

Najua umekata tamaa. Hauna tofauti na wale wanaokwenda makanisani kuvizia wadada waliofeli mahusiano ili wajipatie utelezi. Mwanamke wa thamani hupatikana kwa kutoa jasho sababu sio windo rahisi kukamata, ama sivyo ungeshakuta wenzako wamemuwahi.

Ukiona mwanamke ni mgumu au anaonekana haiwezekani kuwa nae basi huyo ndie wakuwa nae sababu atakupa penzi la thamani ya ujasiri wako.

Usikate tamaa kijana. Watoto wakike wapo wengi sana...... Usitake utelezi kwa kuwapata kwa staili hii utaambulia magalasa tu hapo.

Toka nje, out nenda maeneo wanayokuwapo, nenda kamtafute mkeo huko....usiogope.

Sent using Jamii Forums mobile app
Good advice!

Kwenye jamii kuna watengezaji na wabomoaji wengiwao humu ni wabomoaji nimegundua ila wewe upo tofaut nao Asante Father
 
Kijana mtaani kwenu hakuna wanawake wa kuoa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mtaa unao kosa wanawake mzee ila hata sehemu wanapo jiuza wadada hupatikan wake wema ila imani yako tu ndiyo itakufanya uwe umefaulu au ime kuponza..kuna watu sikuizi wanatafuta wake adi kweny misiba je hawa nao mzee tusemeje awaoni wanawake mpaka afe MTU IMANI YANGU MZEE asante
 
Yan mchumba anatafutwa jamiiforums huko unako Ishai mko wanaume watupu hamna mademu

Sent from my iPhone using JamiiForums
Basi Alie tengeneza ili ndiyo kaanzisha kukosea yani ni kama mfano wa JUHA yani Kwa mzee said kuna wali aliwaambia watoto ili wamuache wasimkere walipo ondoka na Yeye akajisemea kuna wali naye mbio pemben kuna wazee wakamsikia nao wakamfata ivyo wote awa ni MAJUA basi ndiyo alie anzisha ili kundi kama uko ninapoishi akuna wake nayeye akatengeneza group LA uchumba na urafiki
 
Na mie naongezea aliye muislamu ani pm
 
Back
Top Bottom