Vigezo mwenzangu huna maana kasema 19-26 nawe upo 36+
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vigezo mwenzangu huna maana kasema 19-26 nawe upo 36+
Waliowapa mimba..... Sasa wewe upeane mimba na mwingine nije kulea mimi?!Unakataa wenye watoto. Unataka wenye watoto waolewe na nani ?
Kijana mtaani kwenu hakuna wanawake wa kuoa?Habari wakubwa zangu na wadogo zangu..Naitaji Mchumba awe na umri wa miaka 19-26,awe anaishi Dar-es-Salaam..awe ana mtoto wala ajawai kuolewa Mengine yote tutaongea private imel yangu Zuherially8@gmailcom...ASANTENI
Good advice!Kwa unachokifanya ni sawa na simba kijana mwenye miguvu, misuli, mwili imara na mkubwa, mwenye uwezo wa kuangusha hata nyati pekee yake..... Ila akaamua kupapasa macho akitafuta mizoga ili ale..... Huo ni uzembe.
Mwanaume ambae anajua yeye ni mwanaume na amekamilika anavaa uanaume na kuingia duniani kusaka mwanamke wa ndoto zake na kumshika mkono na kurejea nae nyumbani kwake tayari kuanza nae safari ya maisha kwa pamoja.
Najua umekata tamaa. Hauna tofauti na wale wanaokwenda makanisani kuvizia wadada waliofeli mahusiano ili wajipatie utelezi. Mwanamke wa thamani hupatikana kwa kutoa jasho sababu sio windo rahisi kukamata, ama sivyo ungeshakuta wenzako wamemuwahi.
Ukiona mwanamke ni mgumu au anaonekana haiwezekani kuwa nae basi huyo ndie wakuwa nae sababu atakupa penzi la thamani ya ujasiri wako.
Usikate tamaa kijana. Watoto wakike wapo wengi sana...... Usitake utelezi kwa kuwapata kwa staili hii utaambulia magalasa tu hapo.
Toka nje, out nenda maeneo wanayokuwapo, nenda kamtafute mkeo huko....usiogope.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi 26 njinji iyo 36 ata sija fikiaVigezo mwenzangu huna maana kasema 19-26 nawe upo 36+
Duuh!
Hahaha kumbe umu kuna walimu wa kiswaili kimbilio LA walio feliMzee baba uko bongo daslam na kiswahili f.
ana mtoto-hana mtoto
ajawahi kuolewa-hajawahi kuolewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama itakua nimekosea samaani ila mi naamini mke hupatikan popote tu pale kuhus wema ni jins utakavyo ishi nae ila asantewanawake wamekuwa mafungu ya nyanya siku hizi
Mawazo yako Ila sishangai kwasabab wanaadamu tuna tofautiana mawazoYah nadhani kabla ya usiku wa leo utapata
Lkn nina wasiwasi kama atadumu hadi baada ya tarehe 26
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye jamii kuna watengezaji na wabomoaji wengiwao humu ni wabomoaji nimegundua ila wewe upo tofaut nao Asante FatherKwa unachokifanya ni sawa na simba kijana mwenye miguvu, misuli, mwili imara na mkubwa, mwenye uwezo wa kuangusha hata nyati pekee yake..... Ila akaamua kupapasa macho akitafuta mizoga ili ale..... Huo ni uzembe.
Mwanaume ambae anajua yeye ni mwanaume na amekamilika anavaa uanaume na kuingia duniani kusaka mwanamke wa ndoto zake na kumshika mkono na kurejea nae nyumbani kwake tayari kuanza nae safari ya maisha kwa pamoja.
Najua umekata tamaa. Hauna tofauti na wale wanaokwenda makanisani kuvizia wadada waliofeli mahusiano ili wajipatie utelezi. Mwanamke wa thamani hupatikana kwa kutoa jasho sababu sio windo rahisi kukamata, ama sivyo ungeshakuta wenzako wamemuwahi.
Ukiona mwanamke ni mgumu au anaonekana haiwezekani kuwa nae basi huyo ndie wakuwa nae sababu atakupa penzi la thamani ya ujasiri wako.
Usikate tamaa kijana. Watoto wakike wapo wengi sana...... Usitake utelezi kwa kuwapata kwa staili hii utaambulia magalasa tu hapo.
Toka nje, out nenda maeneo wanayokuwapo, nenda kamtafute mkeo huko....usiogope.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndoivyo kaka kama kaweza mapema kuanza kuangalia muandiko Atashindwa je kuanza kuangalia na Mali hao ndiyo wale mapenz pesa elimu na usharo baroDuuh!
Hakuna mtaa unao kosa wanawake mzee ila hata sehemu wanapo jiuza wadada hupatikan wake wema ila imani yako tu ndiyo itakufanya uwe umefaulu au ime kuponza..kuna watu sikuizi wanatafuta wake adi kweny misiba je hawa nao mzee tusemeje awaoni wanawake mpaka afe MTU IMANI YANGU MZEE asante
Basi Alie tengeneza ili ndiyo kaanzisha kukosea yani ni kama mfano wa JUHA yani Kwa mzee said kuna wali aliwaambia watoto ili wamuache wasimkere walipo ondoka na Yeye akajisemea kuna wali naye mbio pemben kuna wazee wakamsikia nao wakamfata ivyo wote awa ni MAJUA basi ndiyo alie anzisha ili kundi kama uko ninapoishi akuna wake nayeye akatengeneza group LA uchumba na urafikiYan mchumba anatafutwa jamiiforums huko unako Ishai mko wanaume watupu hamna mademu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kaka hua awo kiiman yangu wanasumbua ususan Kwa mifano midog niliyo iyona Kwa ndugu jamaa na marafiki kidogo awe ni mjane kuliko baba wa mtoto yupo hai trueWaliowapa mimba..... Sasa wewe upeane mimba na mwingine nije kulea mimi?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujakosea kwasabb ya uwezo wa uwelewa wako ila jua tu kua Ata ukimwi aupimwi Kwa macho na tuna fanana jinsia ila Tabia na matendo tupo tofaut na ndiyo mana kila 1 ata hukumiwa kulingana na matendo yake