Zuheri Ally Amri
Member
- Dec 23, 2019
- 23
- 10
Unakataa wenye watoto. Unataka wenye watoto waolewe na nani ?Habari wakubwa zangu na wadogo zangu..Naitaji Mchumba awe na umri wa miaka 19-26,awe anaishi Dar-es-Salaam..awe ana mtoto wala ajawai kuolewa Mengine yote tutaongea private imel yangu Zuherially8@gmailcom...ASANTENI
ana mtoto =hana mtotoHabari wakubwa zangu na wadogo zangu..Naitaji Mchumba awe na umri wa miaka 19-26,awe anaishi Dar-es-Salaam..awe ana mtoto wala ajawai kuolewa Mengine yote tutaongea private imel yangu Zuherially8@gmailcom...ASANTENI
Wapo Wengi wenye vigezo hivyo ila hautapata, kwanza haujui kuandika, 2. Haujui kutongoza 3. Hauna hela ndio maana haujataja wewe una nini, mwanamke huyo akufuate wewe una nini?Taja wewe una nini wajueHabari wakubwa zangu na wadogo zangu..Naitaji Mchumba awe na umri wa miaka 19-26,awe anaishi Dar-es-Salaam..awe ana mtoto wala ajawai kuolewa Mengine yote tutaongea private imel yangu Zuherially8@gmailcom...ASANTENI
Kama upo naye karibu mwambie basi ani pm
Bonyeza kwenye avatar yake utaona message hapo mtaanza safar yenuKama upo naye karibu mwambie basi ani pm
🤣 🤣 🤣 🤣baada ya tarehe 26
Kwani mwenyewe haoni jamaniBonyeza kwenye avatar yake utaona message hapo mtaanza safar yenu
Sent using Jamii Forums mobile app