Habari Njema Kutoka Barrick Gold kwa Watanzania, Tunaanza Kufaidi Rasilimali Zetu, Donge Nono la Dola Milioni 100 zalipwa

Zikiingia tu hata zile ndogo, zinatosha kusema JPM Ni jasiri wa mambo magumu yasiyotabirika

Binafsi Kwa kipindi kile niliamini kabisa ni lazima Jambo hili lifike MiGa na litaleta sintofahamu kwenye serikali ya JPM

Sasa hiyo inatosha kuwaambia waoga wote wa Tanzania kuwa hawafai kuongoza nchi hii, si Lisu Wala Vyama vinavyoongoza kutetea majizi na majambazi ya ngozi nyeupe
 
Unasamehe USD 190 billion na kupokea USD 100 million halafu zingine $ 200 million ulipwe kidogo kidogo ie $ 40millio year halafu unajisifia?Kama siyo wendawazimu ni nini hicho?Makanikia bado hapo bandarini?Mtambo wa uchenjuaji tayari?
 
Ripoti mbili za CAG zinaonyesha 2.7 trillions hazijulikani zilipo. Bunge DHAIFU limenyuti halafu mtu anashangilia kupata $300 millions. Aliyewaroga baadhi ya Watanzania uchawi wake si wa kawaida hata kidogo.
Hiyo $300 nayo inalipwa kwa instalments, makinikia yatasafirishwa kama kawaida, na hakuna habari ya kujenga smelter tena. Halafu baadhi ya watu wanashangilia kama mazuzu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujinga kweli mzigo, unafikiri wangeenda MIGA kutafuta nini wakati wanachokitaka wamepata?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unasamehe USD 190 billion na kupokea USD 100 million halafu zingine $ 200 million ulipwe kidogo kidogo ie $ 40millio year halafu unajisifia?Kama siyo wendawazimu ni nini hicho?Makanikia bado hapo bandarini?Mtambo wa uchenjuaji tayari?
Kama umeweza kuongea hivi leo, na Endapo Jambo la MIGA lingewezekana ingekuwaje mkuu!

Ni Ujinga kukebehi aliyethubutu kufanya hata kile kidogo na ukamsifia mjinga aliyeungana na wajinga kumkatisha tamaa mwenye kuthubutu?
 
Kwani hayo mauzo wanafanya Barrick peke yao? Au yanafanyika kama mali ya Twiga gold corp kwa hiyo hata serikali itakuwa inafahamu mchakato mzima.
 
Miongoni mwa wanufaika wa fedha hizo ni MIMI
 
Je kabla ya magufuli.. hayo mauzo ya makinikia tulikuwa tunalipwa bei gani?
Magufuli ni jembe.. mbona awamu za 3 na 4 hatukulipwa na makinikia yalikuwa yanasafiri
Je ni nani aliwaleta hawa Barick na mwanae Accacia?
Ni kawaida Afrika mkono mtu haulambwi.
 
Na makinikia naona yanaendelea na safari yake ya kwenda ughaibuni
kuchenjuliwa. Vipi ile smelter imeshajengwa?
 
Je kabla ya magufuli.. hayo mauzo ya makinikia tulikuwa tunalipwa bei gani?
Magufuli ni jembe.. mbona awamu za 3 na 4 hatukulipwa na makinikia yalikuwa yanasafiri
Hizo awamu maisha pia yalikuwaje kulinganisha na sasa.

Nothing goes for nothing..

Sent using iphone pro max
 
the other good thing is pesa zinaingia kwenye mikono salama. maana kupatikana kwa pesa ni jambo lingine na matumizi ni jambo lingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…