The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
- Thread starter
-
- #61
Serikali haigawi Pesa wala chakula.Huduma zipi sasa kama hadi basic need kama Chakula,malazi,maji ni shida kwa karibu 3/4 ya Watanzania
Sawa ndio mkuu. Lakini kile tunachopata na kubaki nacho hata kama ni 30% inatutosheleza vizuri tu. Lakini inaishia mifukoni ya wachache.Hawezi gundua mwingine afu mkagawana sawa ,tunachokipata ndio stahiki zetu'.
Ukitaka kikubwa weka teknolojia,staff na mtaji ugundue mwenyewe
Hilo la kuishia mifukoni mwa wachache ndio la ku deal naloSawa ndio mkuu. Lakini kile tunachopata na kubaki nacho hata kama ni 30% inatutosheleza vizuri tu. Lakini inaishia mifukoni ya wachache.
Hakuna kitu Kama hicho mzee,ugunduzi umefanyika eneo la TanzaniaLakini hilo eneo ni Disputed area Sisi na Malawi ni nani anaeweza kuwekeza akijua Vita vinaweza kutokea?
Sasa tuone na hii anko atuambie tusubiri hawezi kutununulia ist bado wazungu hawajaleta mikopo.Habari wadau,
Habari njema kwa Tanzania ni kwamba, imefanikiwa kugundua Gas nyingine ya Helium Kaskazini ya Bonde la Ziwa Nyasa eneo la Matema wilaya ya Kyela mkoani Mbeya...
Basi kama ni hivyo tumepiga BINGO.Hakuna kitu Kama hicho mzee,ugunduzi umefanyika eneo la Tanzania
Huo ndio ukweli MkuuMtanzania wa kawaida hanufaiki kwa lolote hapo
Atabakia kusikia kwenye bomba tu kuhusu helium
Ova
Hapo sasaHuduma zipi sasa kama hadi basic need kama Chakula,malazi,maji ni shida kwa karibu 3/4 ya Watanzania
Mkuu usisisimke, soma huu uzi, niliuandika kitambo kidogoHabari wadau,
Habari njema kwa Tanzania ni kwamba, imefanikiwa kugundua Gas nyingine ya Helium Kaskazini ya Bonde la Ziwa Nyasa eneo la Matema wilaya ya Kyela mkoani Mbeya.
Tutakuwa tunashangilia hivo hivo miaka yote kama ilivo Mwadui, Geita, North Mara, Mtwara, Bulyankulu, Chunya, Yaani unufaikaji wetu haupo kwa maslahi ya taifa, hata gesi ya Mtwara tulielezwa sio yetu na kwa aina ya viongozi waliopo ambao hawana uzalendo wanaojali matumbo yao ndio maana tunaibiwa rasilimali zetu mchana kweupe tunazidiwa hadi na Uganda na Botswana wanapata mgao wao wa kueleweka sisi ni mazezeta kabisa.
Huo ni uzi niliweka kipindi kilichopitaMkuu, tutaongea kila kitu na kukitilia shaka lakini sio suala la uwepo wa gesi ya Helium Tanzania. Hadi sasa waliosimamisha uchimbaji sio Helium One, ni serikali. Na kumbuka taarifa kuhusu uwepo wa hiigesi sio za Helium One
Kuomba omba au kuuzwa kabisa!Huo ndio ukweli Mkuu
Tunatamba tuna kila kitu
Saudia mwaka 1938 [emoji631] walivumbua mafuta na yakawa kweli mpaka leo
Sisi wanaweza wakasema tumevumbua mbuga mpya ya wanyama na tutegemee neema maana watalii watafurika na tutapata hela kaeni mkao wa kula sio kuliwa
Uongo na sifa tunaweza sana ila miaka 50 ijayo tutakuwa hivi hivi kwa kuomba omba
Kwa Nini inatokea vile kwenye helium? Kwa Nini Pesa inafichwa? CCM wananufaika nayo?Mkuu usisisimke, soma huu uzi, niliuandika kitambo kidogo
Tetesi: - Tanzania inalipwa mabilioni ya fedha toka nje ambazo zimefanywa siri na serikali hazina rekodi, tumenunulia ndege, na kujenga SGR na Stiegler nk
Tetesi zlizopo ni kwamba serikali ya Tanzania imekuwa ikilipwa mabilioni ya fedha na kampuni za nje lakini fedha hizi zimefanywa siri bila kuingizwa katika kasri za serikali, na hivyo kuwa nje ya wigo wa ukaguzi wa serikali kutia na CAG. Hili ndilo simulizi lililopo. Nitawawapa dondoo za...www.jamiiforums.com
Inawezekana CCM wananufaika lakini suala la msingi ni kwamba Tanzania ikichimba Helium unaua viwanda vyote vya kutenegeneza Helium duniani, na USA ndio supplier mkubwa kwa sasa. Kwa maneno mengine, Helium ya anzania itakuwa bei rahisi sana kuliko soko la dunia la sasaKwa Nini inatokea vile kwenye helium? Kwa Nini Pesa inafichwa? CCM wananufaika nayo?
Mazuzu ya kita ifwaaaaHizi zingeweza kuwa story zenye maana kama tungekuwa na viongozi waadirifu,tuliambiwa hizi story kipindi gesi ya songosongo inagunduliwa, wajanja wakacheza tiktak...
Ww km ndo kiongozi wa familia wana hasara .Kwa hiyo mgunduzi na tech yake ndo afaidi kuliko mwenye mali ...ndo maana unashangilia chama cha machizi maana huna akili.Hawezi gundua mwingine afu mkagawana sawa ,tunachokipata ndio stahiki zetu'.
Ukitaka kikubwa weka teknolojia,staff na mtaji ugundue mwenyewe