Habari njema kwa nchi, gesi nyingine ya Helium yagunduliwa Bonde la Ziwa Nyasa. Tanzania kuwa muuzaji kinara Duniani

Habari njema kwa nchi, gesi nyingine ya Helium yagunduliwa Bonde la Ziwa Nyasa. Tanzania kuwa muuzaji kinara Duniani

Huduma zipi sasa kama hadi basic need kama Chakula,malazi,maji ni shida kwa karibu 3/4 ya Watanzania
Serikali haigawi Pesa wala chakula.

Ukisema chakula Ni shida Sasa sijui wanazalisha hii ziada Ni kina Nan? 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221130-155319.png
    Screenshot_20221130-155319.png
    146.5 KB · Views: 2
Habari wadau,

Habari njema kwa Tanzania ni kwamba, imefanikiwa kugundua Gas nyingine ya Helium Kaskazini ya Bonde la Ziwa Nyasa eneo la Matema wilaya ya Kyela mkoani Mbeya...
Sasa tuone na hii anko atuambie tusubiri hawezi kutununulia ist bado wazungu hawajaleta mikopo.
 
Mtanzania wa kawaida hanufaiki kwa lolote hapo
Atabakia kusikia kwenye bomba tu kuhusu helium

Ova
Huo ndio ukweli Mkuu
Tunatamba tuna kila kitu
Saudia mwaka 1938 [emoji631] walivumbua mafuta na yakawa kweli mpaka leo

Sisi wanaweza wakasema tumevumbua mbuga mpya ya wanyama na tutegemee neema maana watalii watafurika na tutapata hela kaeni mkao wa kula sio kuliwa

Uongo na sifa tunaweza sana ila miaka 50 ijayo tutakuwa hivi hivi kwa kuomba omba
 
Madini na gas iliopo hatuoni cha maana zaidi ya mgao wa vibaba. Unazani hiyo ndiyo itatusaidia kitu ikiwa nyingine hata inakoenda kumwagwa hatujui, tulikuwa tunapishana na mi Lori imebeba mabomba tukawa tuna shangilia Neema inakuja kiko wapi? Labda uje mfumo mwingine lakini sio huu mtwara walikula virungu yapo wapi, wanatufanya mazoba[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Habari wadau,

Habari njema kwa Tanzania ni kwamba, imefanikiwa kugundua Gas nyingine ya Helium Kaskazini ya Bonde la Ziwa Nyasa eneo la Matema wilaya ya Kyela mkoani Mbeya.
Mkuu usisisimke, soma huu uzi, niliuandika kitambo kidogo

 
Tutakuwa tunashangilia hivo hivo miaka yote kama ilivo Mwadui, Geita, North Mara, Mtwara, Bulyankulu, Chunya, Yaani unufaikaji wetu haupo kwa maslahi ya taifa, hata gesi ya Mtwara tulielezwa sio yetu na kwa aina ya viongozi waliopo ambao hawana uzalendo wanaojali matumbo yao ndio maana tunaibiwa rasilimali zetu mchana kweupe tunazidiwa hadi na Uganda na Botswana wanapata mgao wao wa kueleweka sisi ni mazezeta kabisa.
Mkuu, tutaongea kila kitu na kukitilia shaka lakini sio suala la uwepo wa gesi ya Helium Tanzania. Hadi sasa waliosimamisha uchimbaji sio Helium One, ni serikali. Na kumbuka taarifa kuhusu uwepo wa hiigesi sio za Helium One
Huo ni uzi niliweka kipindi kilichopita
 
Huo ndio ukweli Mkuu
Tunatamba tuna kila kitu
Saudia mwaka 1938 [emoji631] walivumbua mafuta na yakawa kweli mpaka leo

Sisi wanaweza wakasema tumevumbua mbuga mpya ya wanyama na tutegemee neema maana watalii watafurika na tutapata hela kaeni mkao wa kula sio kuliwa

Uongo na sifa tunaweza sana ila miaka 50 ijayo tutakuwa hivi hivi kwa kuomba omba
Kuomba omba au kuuzwa kabisa!
 
Mkuu usisisimke, soma huu uzi, niliuandika kitambo kidogo

Kwa Nini inatokea vile kwenye helium? Kwa Nini Pesa inafichwa? CCM wananufaika nayo?
 
Kwa Nini inatokea vile kwenye helium? Kwa Nini Pesa inafichwa? CCM wananufaika nayo?
Inawezekana CCM wananufaika lakini suala la msingi ni kwamba Tanzania ikichimba Helium unaua viwanda vyote vya kutenegeneza Helium duniani, na USA ndio supplier mkubwa kwa sasa. Kwa maneno mengine, Helium ya anzania itakuwa bei rahisi sana kuliko soko la dunia la sasa

Sasa ikiwa Tanzania itapewa ofa ya pesa ili isichimbe Helium kwa sasa, hilo haliwezwi kuwekwa peupe
 
Hizi zingeweza kuwa story zenye maana kama tungekuwa na viongozi waadirifu,tuliambiwa hizi story kipindi gesi ya songosongo inagunduliwa, wajanja wakacheza tiktak...
Mazuzu ya kita ifwaaaa
 
Hawezi gundua mwingine afu mkagawana sawa ,tunachokipata ndio stahiki zetu'.

Ukitaka kikubwa weka teknolojia,staff na mtaji ugundue mwenyewe
Ww km ndo kiongozi wa familia wana hasara .Kwa hiyo mgunduzi na tech yake ndo afaidi kuliko mwenye mali ...ndo maana unashangilia chama cha machizi maana huna akili.
 
Mimi.kama.mwananchi nasema kitendo cha helium kifichwa ni uharamu mkubwa na wizi wa kutisha ambao serikali unafanya kwa watu wake.
 
Back
Top Bottom